Recent content by Nyongera

  1. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mnasema Rais Magufuli hajui lugha ya malkia hapo vipi??

    Welcome to BBC hard talk.
  2. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Zitto na Membe na jitihada za kuturudisha Tanzania ya "Shamba la bibi ".

    Msitu tofauti ila nyani walewale
  3. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Madhumuni ya waraka wa Kinana na Makamba yalikuwa ni nini?

    Ili uelewe kilicholengwa kwenye waraka lazima uwe na uelewa wa hesabu za siasa............kwenye siasa, moja jumlisha moja sio mbili (1+1 = ?); inaweza hata kuwa saba (1+1=7) ilimradi tu uwe na uwezo wa kutetea hoja ya kwanini unasema saba.
  4. Nyongera

    JamiiForums Tanzania VODACOM: Sheria za nchi zinatulazimisha kukubaliana na matakwa ya TCRA

    Huu ndo utetezi wa kijinga kabisa kutoka kwa kampuni inayo jinasibu kuwa na watumiaji wengi zaiidi. Naona Voda wamelewa........
  5. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Whose Interest are You Serving in Tussle between Tanzania government - Acacia Plc in Barrick Takeover?

    Naona tatizo lipo kwenye neno, initialed........
  6. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Mbona Prof. Kabudi hamalizi huu ubishi kwa kuweka wazi initial draft ya makubaliano. Ili tumkamate Zitto uongo.
  7. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mkumbuke Pascal Mayalla U-DC Ikungi

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  8. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Pale Waziri anayeshughulikia Muungano anaposema hajui kuhusu Muungano

    Angalau huyu kawa mkweli.........................kwaiyo akiharibu "he is excused" lawama kwa mamlaka ya uteuzi kwa mpa mtu kazi bila ya kumfanyia vetting.
  9. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Zitto kuhusu Barrick Gold unapotosha

    Sasa kazi kwake Prof Kabudi. Afungue kesi dhidi ya Barrick kwa kuweka wazi makubaliano ya awaili wazi.
  10. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Zitto kuhusu Barrick Gold unapotosha

    Kwa ufupi tu.! Hakuna aliyekuwa anajua kuwa initial draft ilikuwa ipo tayari. mpaka hapo Barrick walipo weka wazi nyaraka zao. Tatizo linaanzia hapo........kwann hatukuambiwa mapema; yani mwezi mei (5) watu wamejichimia kimya. Alafu leo mnakuja kupiga porojo humu kwa hisani ya Barrick, hii ni...
  11. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CCM ya Magufuli 2020 ni Hatari kwa nchi

    CCM........CCM ........CCM ......... CCM, htari sana hii
  12. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Mchangiaji maarufu Radio One na ambaye pia ni Mganga achafua hali ya hewa

    Nadhani hata takwim za kesi za kugombania watoto zinasupport hii kitu % kubwa walikutwa wanalea watoto wasio wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Mti wa ajabu wa mwembe washindikana kukatwa

    Unakaribishwa kujaribu......tender isha tanhazwa
  14. Nyongera

    JamiiForums Tanzania Mti wa ajabu wa mwembe washindikana kukatwa

    True story....mi Naishi Pasiansi kama 200m kutoka ulipo huo mwembe. Kama kumtu anaweza kuutoa you are warmly welcome to try.
Back
Top Bottom