Recent content by nyomolelosalim

  1. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Altezza for Sale

    Mbona kama imepigwa pasi?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu Tanzania tuna Membe

    May be rais wa familia. Urais sio jambo dogo kuwa kila waziri anaweza, mimi sijaona kipya alichofanya membe.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Madam SPIKA: Ningekuwa na uwezo ningependekeza Mwingine afe badala ya Mh. Mgimwa

    Kabla ya kufariki walisema ni waziri mzigo awajibishwe ila baada ya Kufa alikuwa mchapakazi. Sasa tuamini lipi?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: viongozi wa Chadema wasiitishe Baraza kuu.

    Kafulila ni mbunge wa mahakama? Mkimbizi nini?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Mbunge Nasari aliwahi kusema wanataka iwe nchi ya kasikazini na rais atoke huko.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kunaweza kuwa na CHADEMA ASILI na CHADEMA MABADILIKO

    Chadema haina mtu wa kumsimamisha 2015 na hakuna kiongozi mwadilifu hata mmoja zaidi ZZK na ndio maana wanamtoa na kama Mbowe ndio bomu kabisa japo wanamuona anafaa, kiongozi gani anachanganya mapenzi na kazi. Chadema hata ikishika nchi hakuna wabunge wanye uwezo wa kuwa mawaziri, manaibu...
Back
Top Bottom