Recent content by nyocksie

  1. nyocksie

    Je! Bei ya gesi ikoje mtaani kwenu baada ya kupita Kwa bajeti mpya Kwa Mwaka 2025/2026?

    Kwa matumizi ya familia ndogo au mtu mmoja umeme ni nafuu lakini sio familia kubwa. Besides umeme sio cheap nchini Tanzania.
  2. nyocksie

    Je! Bei ya gesi ikoje mtaani kwenu baada ya kupita Kwa bajeti mpya Kwa Mwaka 2025/2026?

    Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
  3. nyocksie

    Kwanini ukitoka unavaa vizuri lakini ukiwepo nyumbani unavaa matambara?

    Ndugu! Wewe unafikiri huwa tunaenda kulala tukiwa na splashes za maji ya mabanda ya kuku na nguruwe tuliyoouwa tukisafisha? It's obvious kuwa shughuli za siku zikiisha tunajiweka sawa. Lakini huku kujiweka sawa sio kwa mitoko aisee. Ni kutupia home suitable attire tu zinazokupa comfort...
  4. nyocksie

    Kwanini ukitoka unavaa vizuri lakini ukiwepo nyumbani unavaa matambara?

    Hakika! Ukiwa nyumbani vikazi ni vingi mno, vingine huja hata bila kupanga. Kama ni nguo utachafua zote.
  5. nyocksie

    Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Hivyo Katiba inaendelea kuburuzwa kwa mara nyingine tena.
  6. nyocksie

    Je nifanye nini Kwa kisa hiki Vodacom Vs Tigo?

    Tigo ni wezi wezi hivi. Tarehe 16 December'23 nimefanya muamala wa manunuzi ya muda wa hewani kupitia TigoPesa, wakachukua Hela lakini kifurushi nilicholipia sijakipata mpaka muda huu. Siku iliyofuata nikapiga simu Customer care service, nikaambiwa nisubiri litakapotimia saa la 24 toka...
  7. nyocksie

    Mbona kama TIGO wamekuwa wezi wezi?

    Leo inafikisha week, mkuu!
  8. nyocksie

    Mbona kama TIGO wamekuwa wezi wezi?

    Mkuu ulipata changamoto au unajaribu kunijuza kuwa wanavyo vifurushi vya aina hiyo?
  9. nyocksie

    Mbona kama TIGO wamekuwa wezi wezi?

    Wanajamvi! Ni karibu week sasa nimekutana na haka ka-wizi kutoka Tigo, wenda wengine pia mmekutana nao. Jumamosi ya tarehe 16, December 2023. around saa 2100HRs, Nilinunua kifurushi na kuamua kulipa kwa njia ya TigoPesa, wakata kiasi Cha fedha sawa na kifurushi nilichohitaji kununua; Lakini...
  10. nyocksie

    Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Kwanza Makanisa hayafanyi miujiza. Pili! Unajuaje kuwa wanatumia uchawi, unaweza kithibitisha? Tatu! "masikini wa kutupwa" anatoa wapi mamilioni ya kukamuliwa?
  11. nyocksie

    Natumiwa sana na ndugu zangu kwenye shida zao. Zikiisha wanapotea

    Sio marafiki tu, hata ndugu wa aina hii ni wengi siku hizi.
  12. nyocksie

    CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

    Kwani kuna sehemu taarifa imeonesha kichere akithibitisha kutishiwa kifo?
  13. nyocksie

    Don Williams V/S Kenny Rogers

    Hakika mie pia nimeshindwa kuchagua. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom