matumizi mabaya ya madaraka, fedha na ofisi ni kitu cha kawaida sana kwa serikali ya ccm, chaguzi ndogondogo ni moja ya matumizi mabaya ya fedha za umma, uamuzi wa kumvua lema ubunge ni shinikizo la kisiasa kutoka upande wa pili. Lakini ccccccccmmmm wajue kwamba wamechokwa na hawana future...