Mungu wa kweli ni waajabu sana ni vizuri sisi wanadamu tukawa na kiasi ili tubalance imani zetu Mimi kama na amini imani ya dini yangu isinipelekee Mimi kumdhuru asiye amini imani yangu kwakuwa amri za Mungu zinafanana sina uhakika lakini tuzingatie hizo kwani uongo na ukweli hawaishi pamoja...
Usimpende mke zaidi kwani asilimia 95 huwa ni feki sasa huyo mpaka anavuka mpaka hakujua Kama ana Mme? au alitekwa? Mara nyingi huruma ya mwanaume huwa ina cost Kama yaliyo mkuta huyu Inspector huruma yake ili mgharimu ni vizuri tupende kwa kiasi kwani ni muhimu kwa usalama wako na madhara yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.