Recent content by nyh

  1. N

    Maxence Melo: Viongozi wanapenda kuhubiri “Uhuru wenye Mipaka” kwa wananchi, mipaka kwao ipo wapi?

    With all respect Me Maxence; I am not writing this to argue with you. I know i can not. I am just giving own opinion. Apart from congratulating you on your innovation by establishing this famous forum; I have always had own reservations. May be I am not properly informed or it's own ignorance...
  2. N

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Though I am not against ones freedom of different opinions; I am against using abusive language. Is it to say the struxtire and operation principles of jamii forum has allowed use of abbussive language of a highest degree?
  3. N

    Chama cha mawakili Marekani chatoa kauli kuhusu uhuru wa wanasheria Tanzania bara

    Tanzania is an independent country. This is an internal matter. Tutamali zawenyewe. TLS is operating like a political wing instead of lawyers statutory body. It doesn't surprise any. We saw it coming. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Police Force must and must be respected. Police Force under any circumstances should not be dragged into things which may compromise its integrity. We need them be sunny or rainy. Be day or night. I can not imagine what will it be if in may be an hour; TPF can create a vacuum. I pray to all...
  5. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mpe mzee Send Off ya heshima kwa kishinda kikombe FA na nafasi ya UEFA C.L
  6. N

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Give Arsen a deservedly sending off by winning FA and a place in a top 4
  7. N

    Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    Asikatishwe tamaa; kuandamwa wala kusakamwa. Mh Makonda aungwe mkono na kila mtanzania anayeitakia mema nchi yetu. Lakini yeye pia atambue na akubali neno la Mh Polepole aliposema; "neno la kiongozi husimama. hakuna kiongozi kusema alikuwa anatania". Hivo awe makini na neno au kauli ambazo...
  8. N

    Dk. Slaa amshukia tena Gwajima. Amtaka awaombe radhi Maaskofu na Watanzania...

    Ni kweli. Mchungaji Gwajima, hasemi ukweli. Nakumbuka tuliambiwa tusompenda Mh Lowasa tule limau. Mimi nilikula Limau, na nikaendelea na JPM wa CCM Mbele kwa mbele, hadi alipotinga Ikulu. Mziki wake, ndio umemfikia Mchungaji Gwajima, hadi anamkana swahiba wake. Hapa, mziki wa JPM bado...
  9. N

    Serikali yakanusha kuhusu hazina kuachwa tupu

    Utetezi wa maneno hautoshi kabisa. Matendo yaonyeshe hivo. Wazabuni mbalimbali serikalini kuanzia barabara na huduma shulenu hawajalipwa kwa makisudi kuanzia Mwaka jana. Sasa tuelewe nini?
  10. N

    Wanafunzi wote zaidi ya 58,000 wa Mwaka wa kwanza kupata mkopo ndani ya saa 48 zijazo

    Haieleweki hii. Inakuwaje uwe kamishna wa bodi ya mikopo; hujui lini wanafunzi wapewe mikopo ili waende na ratiba za kufungua vyuo na kuanza masomo? Another sabotage?
  11. N

    MKIKIMKIKI - Mdahalo wa vyama vya Siasa vikijadili masuala ya Elimu na Afya

    Vyuo vinaita watu. Ni wewe tu. UDSM na UDOM hazijai achilia mbali SECUKO; SAUT; TUMAINI nk
  12. N

    Amekutwa na nini mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu?

    It is really paining, to see the issue of Babu Seya, which was handled legally, is now being politicized, and used as a ticket of winning elections. We relatives, good wishers and all, who happen to know the victims, deserves respect. Without infringements to the right of anybody here, the...
  13. N

    Yericko Nyerere acha kuchochea mapinduzi ya kumwaga DAMU

    Watu kama Yerico, twahitaji kujua background yao, kabla ya kusoma makala zao. Je rekodi zao kitaaluma zikoje? Ameota? Ameoteshwa? au nini? Ni watu kama hawa ambao wakiona nchi ina amani, wanawanga. Wakiona wa mtwara na wa kagera hawagombani,wananuna. Kweli kabisa, sheria ije haraka
  14. N

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    UKAWA ni muungano wa watu wenye fikra zisizoeleweka hata kwa wakawa wenyewe. Hadi hapo walipoita askari mamluki ili kuwapambanulia namna ya kushika madaraka ya dola ambayo wamelilia miaka yote. Nawaelewa vema akina Lipumba et.al,. Ambao kidoogo fikra zao zimejipambanua kutoka fikra butu...
  15. N

    Undumilakuwili hauhitajiki ni vyema mjiengue mapema

    Wakatie "lowasa" waondoke.
Back
Top Bottom