We acha tu hii ni misukule iliyokuwa imefungia na ccm miaka 54 sasa ipo huru wacha imuingize ikulu we tafuta jembe uje tuanze kilimo mashetani yamefungulia misukule yao sasa
Hot lady ni dada yupo kitengo anajua yule hajapewa kadi kwa kuwa duni haji ni naibu waziri smz na angepoteza mafao ya uwaziri palepale mlimani city na angerudi zanzibar kwa kupiga mbizi
Baada ya papa profesa msola kujaribu kufunga goli la mkono uwanja wa nyumbani beki 2 mstaafu mwamoto akaamua kudaka mpira uwanjani refa akaamua mechi ianze upya na papa profesa msola akabwagwa vikali mashabiki wamempongeza papa msola kucheza kisasa zaidi ya taaluma yake kumzidi beki 2 mstaafu...
Yaani ulichofanya mbowe ni kitu hatari kwa maisha ya watanzania wenza hiyo chadema tulianza nayo pale motel agip siku ile mkwe wako anatarajia kuanzisha chama na tulinusurika kukamatwa mungu akawa nasi wewe nakumbuka nilisikia tu upo umoja wa vijana wa chadema leo unajifanya chama kama chako...
Sisi huku kijijini ukiona mtoto anaetambaa anachezea mtwangio wa kutwangia mahindi kwenye kinu huwa mzazi analia kuliko hata mtoto akikutwa kashika nyoka kwani mtwangio uliosimama huwa unakawaida kuangikia kichwani na kuuwa mtoto lakini sio kila nyoka inauma
Nipo kituo cha kuandikisha BVR na tupo na Kingunge Ngombare Mwiru Mkuu wa Wilaya Makonda na Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba wamenuniana hawajasalimiana na wamefatana namba bila kujijua.
Katika kuonyesha wapiga kura hawajitambui ni kina nani wanachama 45o wa tasaf 3 wamejiunga na c c m leo na kusema hawampigii kura tena tasaf 3 mpaka kieleweke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.