WANAHARAKATI wanne wa Demokrasia wa nchini Myanmar akiwemo mbunge wa zamani wameuawa kwa kunyongwa na Jeshi la nchi hiyo kutokana na kukutwa na hatia ya kujihusisha na njama za kutekeleza matukio ya kigaidi nchini humo.
Miongoni mwao alikuwepo mwanaharakati maarufu wa nchi hiyo Ko Jimmy pamoja...
Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20.
Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda...
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ili kuzungumzia sakata la Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara, huku akibainisha kuwa kwa kufanya hivyo...
Haji Manara alifungiwa mwaka 1 na faini ya shilingi Milioni 9 mwezi April 2017 baada ya kukutwa na Makosa 3 ambayo yaliwekwa wazi na Kamati ya Maadili ya TFF.
1) Kuituhumu na Kuidhalilisha TFF na Viongozi wake kwa kutoa maneno yasiyo na Staha.
2) Kueneza Chuki za Ukabila. 3) Kuingilia Utendaji...
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20.
Akifanya...
Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia.
Fahyvanny ambaye wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.