Mugabe sio Rais wa kutembembeza bakuli na kujichekesha chekesha kma wa wa kwetu Watanzani tuamuke jaman muda wa kulalA umekwisha sasa, muda wa kusema tumuachie Mungu umekwisha sasa,tuungane na wapigania haki ya kweli na kuiangusha CCM 2015
Kwa kweli ni vigumu kuamini kuwa uwezo wa Kijana kama Nape wa kuweza kufikiri umeishia kikomo kias hicho eti BILA AIBU ET LEMA MPIGANIA HAKI ameirudish nyuma Arusha kimaendeleo wakati walanguzi na Wachuuzi wa rasilimali za wanyonge wakiendelelea kutunisha matumbo yao kwa kisingizio cha aman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.