Recent content by nyaunyau

  1. nyaunyau

    Chonde chonde mtumishi au mjasiriamali, usikope Bayport kabisa, ni wahuni na matapeli

    Hawa BAYPORT wanaumiza sana yameshanikuta nahangaika nao BADO wananizungusha
  2. nyaunyau

    Chonde chonde mtumishi au mjasiriamali, usikope Bayport kabisa, ni wahuni na matapeli

    Hawa BAYPORT wanaumiza sana yameshanikuta nahangaika nao BADO wananizungusha
  3. nyaunyau

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    WAKATISHA TICKET wenu hawarudishi chenji kwa visingizio kwamba hawana chenji 200,50,Abiria wengi wanaziacha
  4. nyaunyau

    KERO Wakatisha tiketi wa UDART kwanini hamturudishii chenji abiria?

    Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji. Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji. Hii hajakaa sawa kabisa wahusika fuatilieni vituoni kutatua kero hii.
  5. nyaunyau

    Msaada: Naombeni ushari kuhusu ujenzi

    Kama ulimpa mama atatue changamoto zake hiyo pesa hesabu huna pesa kabisa,anza upya tafuta Pesa weka kwenye AKAUNTI yako ikitosha ya kununua tofali chukua Kiasi,hakikisha AKAUNTI inabaki na pesa ya kukulinda
  6. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Nishahesabu maumivu
  7. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Niliwatumia Akiba ili nipate mkopo😃😃
  8. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Kukopa ni KAWAIDA tu,Kuna taasisi wanakopesha hawana shida mfano UMOJA LOAN wapo vizuri
  9. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Wameishia kuchukua Hela yangu,chakushangaza kwanini hawafuatiliwi na wanajitangaza kwenye mitandao?
  10. nyaunyau

    Utapeli TALA mikopo

    Kuna UTAPELI mkubwa kuna watu wanajiita TALA MIKOPO,wanadanganya watu kwamba wanatoa mikopo kwa Riba ndogo,unaambiwa weka Akiba Kiasi fulani,mfano ukitaka kukopa Laki mbili unaambiwa weka 32,000,ukiweka pesa hiyo kwa mujibu wa Maekezo yao hiyo 32000 ndo inakuwa imeliwa
  11. nyaunyau

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    Naomba link ya kidato Cha pili mkuu
Back
Top Bottom