Recent content by Nyauba

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mwanakijiji anafaa sana kwa wakati huu kutoa maoni yake katika hili la kufutwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukuu wa Dhamira Juu ya Hisia (Supremacy of Conscience Over Passions) - In Honor of Dr. Slaa

    MMM umetoa maelezo mengi ila kuhusu usafi wa dhamira ya Dr Slaa jana sikuiona na hakika amenisikitisha sana kwa yafuatayo; 1. Kutokuwa focused na sababu za msingi zilizomfanya kutokukubaliana na wenzake katika KK ujio wa Lowasa 2. Kufanya propaganda nyingi kuhusu tuhuma za ufisadi za Lowasa na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli aongezewe washauri, anakwenda mrama

    Magufuli ana timu mahiri sana ya kampeni ikiongozwa na Kinana na akina January..... Tatizo sio magufuli kukosoa au kushangaa bali ni UKAKASI WA MATENDO YA SERIKALI YA CCM inayojaribu tena kuwaghilibu wapiga kura. Magufuli UONGO hawezii kwa hiyo anatemaa MAKAVUUU LIVE....
  4. N

    JamiiForums Tanzania Big results now! Malaysia na Tanzania

    Serikali duniani kote lazima ionyeshe njia na kusimamia kwa dhati mipango yote yenye lengo la kuleta maendeleo kwa watu wake. Tabia zote tulizonazo watanzania zinatokana na mwenendo wa aina ya uongozi tulio nao. Usitegemee popote duniani wananchi kujiletea maendeleo bila kuwa na UONGOZI WENYE...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unafikiri wakazi wengi wa Dar wana madudu gani Kichwani?

    Kweli yaonekana kuwa watanzania wengii tuu mazuzu...lakini hawa tuliowapa fursa ya kutuongoza (kututawala) wamepata wapi werevuu ghafla wakutukandamizaa namna hii ili hali wanatokana na sisi???????? Au kuna pepo wanawaingia ghafla wapatapo fursa na kuanza kung'amua jinsi ya kututenda sivyoooo!!!?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kuongezeka kwa chuki dhidi ya utawala wa Rais Kikwete anayemaliza muda wake kulikotokana na kuongezeka kwa hali mbaya ya uchumi kwa jamii ni moja ya chanzo kikubwa cha kuongezeka kwa mashabiki wa kisiasa wa Mbunge wa Monduli Edward Lowassa katika harakati zake za kutaka kogombea uraisi. Idaidi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kilichomkuta Zitto: Kuna mkono wa Mtu! Yajue makundi 10 ya wanaompinga Zitto...

    Anguko la ZZK ndani ya CDM kalitengeneza mwenyewe kwa kiasi kikubwa na kuwapa nafasi maadui wake wachache nje na ndani ya CDM kumsulubuuu. Alipofungua kesi kuzuia KK au BARAZA KUU la CDM alijua fika atafanikwa kwani mahusiano yake ya karibu na watawala yalimpa uhakika huo. Siasa ni mchezo na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania EU statement on the closure of The East African

    Tukijitambua kama Taifa ndipo kauli kama hizi tutaweza kuzikabili kwa ujasiri! Ni kweli EU wanaingilia mambo yetu ya ndani lakini ni sisi wenyewe (kupitia viongozi tulionao) tuliowapa fursa hiyo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge teteeni wazawa sio wazungu kwenye IPTL

    Kumbe singa singa wa PAP mwenyeji wa IRINGA!!!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

    Huwa sipati jibu rahisi kwa nini hatuko hata pro active kutambua fursa zilizopo na kuzichangamkia! Yaani dangote kutaka kuzalisha umeme mtwara ni news wakati source ya power hapo mtwara ipo waaaaaziiiiiiii. Je kwa upande wa serikali mipango ikojee kukamilisha matamanio hayoo kwa haraka? Isaidie...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Ikulu Desemba 02,2014

    Hongera Prof Assad. Natumai utazingatiaa maadilii ya kazii. Yale malalamiko ya upendeleo wa udini yasijitokezeee
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Mwanakijiji unamaanisha una sympathize na Mahakama au ndo kutupa somo pana madhara ya mihimili hii mikuu ya dola kusigana na hatimaye sasa KUDHARAULIANA Kwa masilahii binafsi????
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli pesa za Escrow ni za vikao vya Harusi ?

    Kudai fedha hizo ni za harusi ni dharau kwa umma wa watanzania hasa wale wengi wanaotabika na kukosa mahitaji halali ya kijamiii. kwa kauli hiyoo tuuu inaondoaa utu wa kitanzania
  14. N

    JamiiForums Tanzania Timu ya Kampeni ya Pinda Mizengo Wasambaza Waraka Makanisani

    Hivi Pinda mwaka huu ndo alihutubia Baraza la Iddi Kitaifaaa??
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Kikwete kupokelewa kama mfalme China hii hapa

    Afrika ni shamba la bibi kila mwenye hila na nguvu anakulaa kwa urefuu wa kamba yake!!! Ndio Ulaya na Amerika wamefaidii sana na wataendelea kufaidi rasilimali za Afrika ila kwa sasa wamepata wa kuwanyanganya tonge mwenye kuacha maumivuu makali zaidii kwa Afrika! China imewezaa kiujijenga na...
Back
Top Bottom