Recent content by nyasitiki

  1. N

    JamiiForums Tanzania wataalam wa geography

    Povu la nini kwa kimya.
  2. N

    JamiiForums Tanzania wataalam wa geography

    Msaada wenu The time is 06.00am on Monday when a ship crosses longitude 16E.after traveling 48hours eastwards, it crossed longitude 16W.when does it cross longitude 160W?.
  3. N

    JamiiForums Tanzania nitapataje majina ya heslb miaka ya nyuma?

    Naomba msaada wa kupata majina ya nyuma kwa waliosomeshwa na bodi ya millponds.
  4. N

    JamiiForums Tanzania msaada wanu tafadhari

    Asante kwa ushauri
  5. N

    JamiiForums Tanzania msaada wanu tafadhari

  6. N

    JamiiForums Tanzania msaada wanu tafadhari

    Mi ni mwajiriwa wa serikali nilijiendeleza fani ambayo sikuruhusiwa na mwajiri wangu .nimeomba nifanyiwe recategolization mkurugezi ameniandikia barua nijieleze kwanini nisichukuliwe hatua za nidhamu kwa kusoma fani asiyoniruhusu. Ada na mahitaji yote ya chuo nilijilipia mwenyewe. Asanteni kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yapitisha Sheria kada za chini Halmashauri kuajiri.

    Umesema kweli tupu. ba nso;6561809]Wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni kwa mikono miwili jamani

    Utajifunza mengi jf karibu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania hodi wenyeji

    Asante kwa mapokezi ni utamaduni wa mtanzania
Back
Top Bottom