Recent content by Nyasiokatavi

  1. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    Pole sana waziri Mpina,mifugo hii ilikamatwa ukiwa waziri wa mifugo?
  2. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

    "comforter in chief" Maneno mazuri ya tabibu huongeza afueni kwa mgonjwa. Mama ameanza vema sana. Nampongeza.
  3. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Real..mazungumzo yenye mpangilio na yanayoeleweka
  4. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania BoT fanyeni msako wa kushitukiza, bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za benki za wateja wao

    Hali ni mbaya sana kwa watumishi ndio mana wanapeleka kadi zao kwa wakopeshaji na kuwapa nywila za kadi
  5. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

    Idara ya Afya haiitaji siasa..inahitajika implementation ya bajeti kwa 100% ili wananchi wapate huduma bora. Bila pesa hata field marshal itafika wakati atachemka. Je,wajua kuna zahanati ina watumishi 2 wanashindwa hata kwenda likizo?
  6. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda vijijini (Tanganyika) ni jipu, mamlaka zimfuatilie

    Hawezi kufanya hayo na Homela akamvumilia..Pia Tanganyika huwezi kuifananisha na Geita yenye service levy billion+, Halmashauri Tanganyika ina mapato gani ya kumfanya DED ajineemeshe? Nakushauri kama una evidence Tamisemi wameanzisha dawati la malalamiko wapigie wakusaidie..ova
  7. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameongeza mishahara mara mbili ya Kikwete kwenye sekta muhimu

    Elfu 50 bro ya wapi hiyo?..attach salary slip yako ya mwezi June na July tufanye comparison.. tunasubiri May mosi.
  8. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Iddi Kimanta, Mkuu wa Mkoa mpya Arusha

    Enzi za mzee wa privatization alikuwa ni Frontline kitengo.. product ya Mpanda kwa mizengo hii.
  9. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania "T-Shirts za wabunge zilizoingia na fly emirates zimewafanya wapagawe waone watanzania wote tunafanana!

    Kiongozi umetumia fasihi ya hali ya juu..vijana wa buku Saba wanatafuta ratiba ya fly Emirates
  10. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2020, Watumishi wa Umma mmejipangaje?

    Bwana ndie ajuaye hali ya wajakazi wake,alisema yeye si wa kuongeza buku ten..siku ikifika ni nyongeza kubwa kwelikweli.
  11. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kuwaonea wafanyakazi, itafute vyanzo vingine vya mapato

    Mkuu hiyo ndo African education,inawaandaa watu kuja kuajiriwa,pamoja na makato hayo makubwa bado wasomi wameendelea kutafuta hizo kazi kwa mbinde na hata ikibidi wahonge ili waajiriwe..Muhimu ni kutafuta multiple sources ili kukidhi mahitaji na sio kutegemea salary 100%.
  12. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani amepandikiza virusi vya Corona ili kuishusha China kiuchumi?

    Inawezekana lakini wachina nao Wamezidi kula wadudu mno!!
  13. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Kama kuna jambo Watanzania hawalijui ni hili

    Hahahahaaa eti sauti ya mlevi
  14. Nyasiokatavi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kampuni ya Twiga ijenge jengo la Makao Makuu Jiji Mwanza waliite Madini House

    Kwani chimbo la makinikia yanatoka Mwanza,wajenge ulipo mgodi wa Bulyanhulu Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama.
Back
Top Bottom