Recent content by Nyarwambo

  1. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakikujibu nitag ndugu yangu....kama kuna anayejuwa au kutoa msaada watu tuhame familia zinateketea jamani.
  2. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Uhamisho wa kuomba bila kubadilishana je majina yanatoka lini?
  3. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Waungwana habari zenu,nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,naomba niwaulize uhamisho wa watumishi WASIOBADILISHANA utatoka lini?
  4. N

    JamiiForums Tanzania NMB wamenifanyia uhuni; wamechukua hela yangu

    [emoji1787]
  5. N

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kubandika kucha, kope za macho na kutoa magaga imepamba moto

    Hahahaaa, sio wanawake tu mkuu, hadi wanaume siku hizi utawakuta kwenye hizo sehemu wanaoshwa miguu na kukatwa kuchwa, wabadilike wote.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

    Waende tu....wamesahau kwamba Tanzania na Afrika kwa ujumla ni mtakuja tu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Biharamulo nije Dar,Kisarawe,Mkuranga au Bagamoyo,idara ya sekondari.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ametapeliwa, nahisi kuchanganyikiwa, nahisi kufilisika

    Pole sana mkuu,ametapeliwa kizembe sana aisee
  9. N

    JamiiForums Tanzania Alikiba x Rude Boy - Salute: Nawaalika wapenzi wa Alikiba na Sadala mje kurushiana mawe hapa

    Hivi ni lini hawa majamaa watapatana?
Back
Top Bottom