hii wizara angalau iwe serious hata kidogo.Yaani mtu nmejipanga vizuri kwenda dukani nakutana na bei tofauti mwisho wa siku naanza kuongea na mwenye duka kuhusu kupunguza bei ya mbolea yeye ndyo kwanza ananishangaa tu.
habari za weekend wanna jf wote.
wiki hii mwishoni nimetembelea maduka ya pembejeo za kilimo karibu yote yanayopatikana sumbawanga mjini.
Lengo langu ilikuwa ni kujua bei halisi ya mbolea hasa DAP na nyingine; bei zao kwa maduka Saba kati ya kumi niliyotembelea bei ya mfuko wa mbolea ya DAP...
Radio station ni Kyela fm radio,inapatikana kwa masafa ya 96.1 MHz kyela,mbeya.
Kwenye mtandao ya kijamii;
👉🏿TikTok ni Kyelafmradio
👉🏿 Facebook ni Kyelafmradio
Sijui social media accounts za presenter kwasababu nimemjulia humo kwenye platform za kituo chake Cha kazi
Kwa bahati nzuri media zote nilizotaja zinasikika Tanzania nzima kuliko hyo kyela,kwahyo kwa advantage ya Binti na watu wa kyela naona kupewa nafasi ya kufanya kazi kwenye media za dar es salaam zinamfaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.