Mh!! nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Mkeo unamdhalilisha sana halafu bila aibu unaomba ushauri. Huyo bint ni kama mwanao. Kaja kukulelea watoto kuangalia usalama wa Nyumba yako. Wewe unamtumia. Tena huna hata future nae. Angalia una watoto wasije wabeba laana nao wakafanyiwa km...
Mimi ni mwanamke umri miaka 40.. Nina watoto..nahitaji kampani ya mwanaume alie single... Ambae aliachwa na mke au alifiwa, au aliacha mwanamke kwa sababu isiyoweza kuvumilika..awe anajiheshimu..awe mtulivu na kwenye maendeleo na asiwe tegemezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.