Watu wanawaza kusaka pesa wengine mnawaza jinsi ya kuongeza hizo social networks zenu! nasema ni ulimbukeni kwani walozigundua hawajishughulishi nazo badala yake wako bize kugundua vingine! u can't be serious you African and Tanzanian people
Ndugu zangu wa jukwaa hili mu wazma?
Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili, ila kwa mda mrefu nmekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa threads zinazoletwa hapa jukwaani. Hivyo nmevutiwa na jinsi wadau wanavyopambanua mambo, hivyo naombeni ukaribisho wenu
nawasilisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.