Recent content by Nyanso Beirut

  1. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Ndo nimeajiriwa kwa huu mshahara, nipeni mbinu za kufanya nitoboe ndani ya huu mwaka

    Mm piaa nmeshangaa !!! 2.5 M take home Iwe 1M. nnefanya hesabu makato yoye hyaziidi Laki 8. ( PAYEE, NSSF , WCF, NHIF ) htaa ukiweka makato ya loan board
  2. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    So true!! Inakuelewaa Mwanzoi utajipa moyo uone utazeaa lakini siku zinavyozidi kwenda una realise how empty maisha yamekuwa bila mama .
  3. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Interview UDSM Assistant Accountant

    Hapna hawajaitwaa bado !!! Ndo wameitwa December hii
  4. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Interview UDSM Assistant Accountant

    Kuna mtu yoyote aliyeapply nafasi ya assistant accountant iliyotangazwa July 2023 pale UDSM na akaitwa kwenye interview?
  5. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Hii piaa ni thitorii ofu Cheenjiii!!
  6. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

    GOMSI ina watu wengiii!!! ukichukulia wanaotumia hii nyerere road kutoka posta mpka chanika ina michepuo ambayo ina wakazi wengi. kuna njia panda segerea watu wa kinyerez, kuna banana watu wa kitunda, kuna mazizinii, majohe , pugu , kisarawe , chanika. watu mbagala mbande wegine hupitia...
  7. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    sio kwa wote !!!
  8. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili TRA idadi yao ni kama Nchi zima

    APC mbweni unafikaje kutokea ubungo??? panatia uvivu . na number za usaili zipo sehem gani kwenye portal yao
  9. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Tunapokula Maharage au Mchicha tukumbuke kusukutua. Aibu hii!!

    Aibu !!! ya kula maharage au meno kuwa na mabaki ?? point ya msingi ni ipiii
  10. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aliyelazwa kwa miezi mitano atoa Tuzo kwa Wauguzi wa Wodi Namba 6 katika Taasisi ya MOI

    kama kumbkumbu ziko vizuri ward no 6 MOI ni VIP.....!!! Kuna huduma zote muhimu na nurse wako. Ila wauguzi wa MOI wanajitahidi piaa pongezi kwao
  11. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

    katika upuuzi ambao si huweki akilini ni huu....sijui nikifka miaka hii nifanye hiki , lazima niwe na hiki sijui kazi . naacha vitu vifanyike vile Mungu anapenda , muhimu naweka juhudi tu na nidhamu ya kile nachokifanya kwa wakati huo.
  12. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Mkumbusheni Ali Hapi: "You will eventually become what you pretend to be"

    Ali hapi ni mtu na kupenda kuonekana namfaham kabla hajawa mwenykiti CCM vijana . hyo ni personality yake. toka kipindi yupo DC, RC alikuwa anajishughulisha na kilimo .
  13. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Mkumbusheni Ali Hapi: "You will eventually become what you pretend to be"

    Wivuu huzaa chuki na roho mbayaa, kijana mwenzio anajituma kwenye kilimo, na jembe halimizi mtuu.... ww unaanza kujifananisha na ww ulijifanya mganga . Alaf hapi familia yao sio pangu pakavu na watoto wake wote wanasoma feza
  14. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania TANROADS Mbagala mpo au mmelala, mbona pachafu hivi?

    sasa mbagala mbona vitu vya kawaida hvyo , sijawahi kuikuta safi ......!!! alaf Dar aliiweza makonda peke yake .
  15. Nyanso Beirut

    JamiiForums Tanzania Nape: Free WiFi kwenye mwendokasi na masoko ya wamachinga nchi nzima

    kama internet yenyew ndo hii ya TTCL msitupotezee muda wetu sokoni
Back
Top Bottom