Recent content by Nyankuru

  1. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    BASI LA MWENDOKASI (KIMARA _KIVUKONI) LAPITA NA ABIRIA WA KOROGWE HADI KIBAHA Leo 30/11/2023 basi la mwendokasi limeenda na abiria waliopanda korogwe ili wageuze na basi kutokana na changamoto ya mabasi asubuhi ya leo! Mabasi yalikuwa yanatoka kimara mwisho yakiwa yamejaa hivyo abiria kusubiri...
  2. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Bungart Harmonium school

    Wakuu naomba msaada wa kupakua au mwenye hicho kitabu! (Bungart Harmonium school) Nimejaribu ku download inahitaji nitie$$ Natanguliza shukrani!
  3. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Mwiko unafit vzr
  4. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Nimeisha badili lakini issue Iko vilevile!
  5. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Habarini wana Jamiiforum! Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!; Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri! Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao...
  6. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wa kupata mawasiliano na Bochi hospital

    Naomba mwenye email ya Bochi hospital anisaidie!
  7. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

  8. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Poa
  9. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Hii ni baada ya kumaliza restoration
  10. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Poa [emoji120][emoji120]
  11. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Poa Natumia window defender. ..sina ant virus nyingine sijui kama itaweza kudetect
  12. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Duh...nahis kutakuwa na virus anaye kula!! Iobit nayo "stopped working "
  13. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Ilikokuwa imefikia..kila muda something "stopped working "
  14. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    Shukran! Nime unistall IDM ndo Iobit imekubali installation. . Then nime uninstall browser zote zilizo zingua !
  15. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada idm na browsers

    ...jana sikufanikiwa ,,,nilipojaribu ku install iobit nayo ikafel saizi pia hadi adobe nayo imefel kufanya kaz
Back
Top Bottom