Recent content by nyanile

  1. N

    Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto

    Jana ilikuwa siku ya kipekee ndani ya viunga vya jiji la Mbeya husasan waathirika wa janga la moto kwa wafanyabiashara wa soko la Sido, mh Dr Tulia Akson ,naibu spika wa JMT alipopokelewa kwa upendo mkubwa sana na wana Mbeya na hii ikaleta hisia kwamba pengine hii ni ishara kwa mh Sugu kuanza...
  2. N

    DC Same awakumbuka wazee wastaafu

    Ni furaha kwa wazee wastaafu Wilaya ya Same kuzindua rasmi umoja wao. Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa halmashauri ya Wilaya ya Same ambapo Mkuu wa Wilaya ya Same Mh. Rosemaey Senyamule alikuwa ni mgeni Rasmi. Lengo la umoja ni pamoja Na kushirikishana fursa Na kutatua matatizo...
  3. N

    Aliyetuhumiwa kumpatia kiwanja RC Makonda, aeleza uhalali wa umiliki wa eneo hilo

    Kila mmoja anatumia aina yake kutupiga,wengine kama wanatetea wanyonge hapo hapo wanawamaliza wanyonge.
  4. N

    Aliyetuhumiwa kumpatia kiwanja RC Makonda, aeleza uhalali wa umiliki wa eneo hilo

    Kipaji ni muhimu lakini elimu ni muhimu zaidi. Amekosa elimu huyu
  5. N

    Aliyetuhumiwa kumpatia kiwanja RC Makonda, aeleza uhalali wa umiliki wa eneo hilo

    TAARIFA YA NDUGU MOHAMEDI IKBAL KWA VYOMBO VYA HABARI, KUHUSU UFAFANUZI WA UMILIKI WA ENEO LA EKARI 3500 LILILOPO LINGATO, KISARAWE II, KIGAMBONI-DSM Ndugu wana habari, Nimewaiteni hapa kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi, mnamo tarehe 27, Februari...
  6. N

    Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Atakuwa anawasaidia wananchi wake kwa kutoka bungeni
  7. N

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Kwa utetezi huu basi nimeshapata mashaka sasa sitamtetea tena
  8. N

    Viongozi wanaotumia majina ambayo sio ya kwao

    Kumekuwa na sauti nyingi sana kutoka kwa jamii na kelele la wimbi la kununua vyeti,kutumia majina ambayo sio yao. Leo tuanze kwa kutaja jina la halisi la kiongozi na jina ambalo amenunua au kutumia ambalo si lake. Mfano Daudi Bashite jina halisi, analotumia ni Dereva kondakta nk ,tuwekeeni...
  9. N

    Makonda Unaanzisha Mambo Hayafiki Mwisho Bali Mbwembwe tuu

    Kumbe kweli aisee nilijua utani
  10. N

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Nasikia M/kiti ametoka Yanga Daima
  11. N

    CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

    Badala wafikirie namna ya kumpata m/kiti mwingine kama awe Low hasa au Suma wanakazana kuzuia mvua
  12. N

    Yanayojiri Mahakama ya Kisutu Kesi ya Tundu Lissu Vs Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 8/2/2017

    Tayari huku, inabidi amamishwe na Lema aende Keko
  13. N

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Aisee bora uyasikie mwenyewe ni mambo mazito kuyaandika hapa
Back
Top Bottom