Kumekuwa na sauti nyingi sana kutoka kwa jamii na kelele la wimbi la kununua vyeti,kutumia majina ambayo sio yao.
Leo tuanze kwa kutaja jina la halisi la kiongozi na jina ambalo amenunua au kutumia ambalo si lake.
Mfano Daudi Bashite jina halisi, analotumia ni Dereva kondakta nk ,tuwekeeni lists yenye ukweli kisha tutapaza sauti kwa nguvu kwa pamoja