Mwanasiasa yupi wa upinzani anafaa kugombea Urais 2020 kwa tiketi ya UKAWA?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,683
Wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani.

Upande wangu nawakubali sana Tundu Lissu au John Heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.
 
Niwekea uzi WANGU KUELEZEA HILI LAKINI moderator WAMEUFUTA sijui kwanini??
ya kuwa kuna TETESI kuwa LISSU anaandaliwa na WAFIA CHADEMA AMBAO kamwe hawajafurahishwa na MWENDENDO wa CHADEMA kwa sasa...Hii ni baada ya wao kutumia PROPAGANDA ZA KUTOSHA KUPITIA mitandao kujaribu kuwaaminisha UMMA ya kuwa kwa sasa asilimia kubwa ya WATANZANIA hawaipendi CCM kamwe hii ni kutokana na jinsi utawala wa JPM unavyoendeshwa....SASA KUPITIA hili hawa WAFIA CHAMA waliamini kabsa hili litathibitishwa kupitia hizi CHAGUZI ndogo kwa CCM kuanguka vibaya na WANANCHI KUPITIA hili wataweza kutuma MASSAGE kwa JPM ajiandae ipasavyo 2020....lakini hali imekuwa TOFAUTI kabsa chaguzi NDOGO ndio zimewapa CDM messaage ya KUWA wananchi HAWAITAKI CDM kwa sasa....hivyo kupitia hili WAFIA CHAMA na WAASISI wa misingi thabiti ya CDM wajiapiza ya KUWA tatzo la CHADEMA kuchukiwa hivi na WANANCHI linajulikana kabsa NA SI LINGNE NI CHADEMA kugeuka chama cha kutetea MAFISADI....hili limewauma sana mpaka sasa....NA NDIO MAANA HIVI SASA LISSU amekuwa msemaji mkuu wa CHAMA kwa kula jambo na mpaka kupelekea kuvaa majukumu ya K/MKUU hii si kwa bahati mbaya.....Je nani mwenye roho ngumu ndani ya CDM kama JK 2015 ILI KUNUSURU CHADEMA katika harakati za kupitisha MGOMBEA URAIS 2020.....naiona CDM ya vipande vipande kuelekea 2020...NI SUALA LA MUDA TU.......
 
ya kuwa kuna TETESI kuwa LISSU anaandaliwa na WAFIA CHADEMA AMBAO kamwe hawajafurahishwa na MWENDENDO wa CHADEMA kwa sasa...Hii ni baada ya wao kutumia PROPAGANDA ZA KUTOSHA KUPITIA mitandao kujaribu kuwaaminisha UMMA ya kuwa kwa sasa asilimia kubwa ya WATANZANIA hawaipendi CCM kamwe hii ni kutokana na jinsi utawala wa JPM unavyoendeshwa....SASA KUPITIA hili hawa WAFIA CHAMA waliamini kabsa hili litathibitishwa kupitia hizi CHAGUZI ndogo kwa CCM kuanguka vibaya na WANANCHI KUPITIA hili wataweza kutuma MASSAGE kwa JPM ajiandae ipasavyo 2020....lakini hali imekuwa TOFAUTI kabsa chaguzi NDOGO ndio zimewapa CDM messaage ya KUWA wananchi HAWAITAKI CDM kwa sasa....hivyo kupitia hili WAFIA CHAMA na WAASISI wa misingi thabiti ya CDM wajiapiza ya KUWA tatzo la CHADEMA kuchukiwa hivi na WANANCHI linajulikana kabsa
Toa ujinga wako wa kimajungu majungu hapa, Chadema ni moja tu
 
wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 .

hivi unadhani ni mwanasiasa gani kupitia umoja wa katiba ya wananchi ukawa angefaa kupeperusha bendera ya upinzani

upande wangu nawakubali sana tundu lissu au john heche wangepeperusha bendera je wewe upande wako unadhani ni nani angefaa.
Daddy Luwasa
 
Niwekea uzi WANGU KUELEZEA HILI LAKINI moderator WAMEUFUTA sijui kwanini??
ya kuwa kuna TETESI kuwa LISSU anaandaliwa na WAFIA CHADEMA AMBAO kamwe hawajafurahishwa na MWENDENDO wa CHADEMA kwa sasa...Hii ni baada ya wao kutumia PROPAGANDA ZA KUTOSHA KUPITIA mitandao kujaribu kuwaaminisha UMMA ya kuwa kwa sasa asilimia kubwa ya WATANZANIA hawaipendi CCM kamwe hii ni kutokana na jinsi utawala wa JPM unavyoendeshwa....SASA KUPITIA hili hawa WAFIA CHAMA waliamini kabsa hili litathibitishwa kupitia hizi CHAGUZI ndogo kwa CCM kuanguka vibaya na WANANCHI KUPITIA hili wataweza kutuma MASSAGE kwa JPM ajiandae ipasavyo 2020....lakini hali imekuwa TOFAUTI kabsa chaguzi NDOGO ndio zimewapa CDM messaage ya KUWA wananchi HAWAITAKI CDM kwa sasa....hivyo kupitia hili WAFIA CHAMA na WAASISI wa misingi thabiti ya CDM wajiapiza ya KUWA tatzo la CHADEMA kuchukiwa hivi na WANANCHI linajulikana kabsa NA SI LINGNE NI CHADEMA kugeuka chama cha kutetea MAFISADI....hili limewauma sana mpaka sasa....NA NDIO MAANA HIVI SASA LISSU amekuwa msemaji mkuu wa CHAMA kwa kula jambo na mpaka kupelekea kuvaa majukumu ya K/MKUU hii si kwa bahati mbaya.....Je nani mwenye roho ngumu ndani ya CDM kama JK 2015 ILI KUNUSURU CHADEMA katika harakati za kupitisha MGOMBEA URAIS 2020.....naiona CDM ya vipande vipande kuelekea 2020...NI SUALA LA MUDA TU.......

Bila shaka unaumwa wew
 
Wakati huu ingefaa kujikita katika upatikanaji wa Katiba mpya yenye sheria mpya ya Uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi kwa kuwa kwa Katiba hii nzee yenye sheria hizi za kale hata upinzani mkiweka malaika, CCM wataibuka washindi tu!!!
 
Niwekea uzi WANGU KUELEZEA HILI LAKINI moderator WAMEUFUTA sijui kwanini??
ya kuwa kuna TETESI kuwa LISSU anaandaliwa na WAFIA CHADEMA AMBAO kamwe hawajafurahishwa na MWENDENDO wa CHADEMA kwa sasa...Hii ni baada ya wao kutumia PROPAGANDA ZA KUTOSHA KUPITIA mitandao kujaribu kuwaaminisha UMMA ya kuwa kwa sasa asilimia kubwa ya WATANZANIA hawaipendi CCM kamwe hii ni kutokana na jinsi utawala wa JPM unavyoendeshwa....SASA KUPITIA hili hawa WAFIA CHAMA waliamini kabsa hili litathibitishwa kupitia hizi CHAGUZI ndogo kwa CCM kuanguka vibaya na WANANCHI KUPITIA hili wataweza kutuma MASSAGE kwa JPM ajiandae ipasavyo 2020....lakini hali imekuwa TOFAUTI kabsa chaguzi NDOGO ndio zimewapa CDM messaage ya KUWA wananchi HAWAITAKI CDM kwa sasa....hivyo kupitia hili WAFIA CHAMA na WAASISI wa misingi thabiti ya CDM wajiapiza ya KUWA tatzo la CHADEMA kuchukiwa hivi na WANANCHI linajulikana kabsa NA SI LINGNE NI CHADEMA kugeuka chama cha kutetea MAFISADI....hili limewauma sana mpaka sasa....NA NDIO MAANA HIVI SASA LISSU amekuwa msemaji mkuu wa CHAMA kwa kula jambo na mpaka kupelekea kuvaa majukumu ya K/MKUU hii si kwa bahati mbaya.....Je nani mwenye roho ngumu ndani ya CDM kama JK 2015 ILI KUNUSURU CHADEMA katika harakati za kupitisha MGOMBEA URAIS 2020.....naiona CDM ya vipande vipande kuelekea 2020...NI SUALA LA MUDA TU.......

unaota

chadema waliobaki wote ni wauata mkumbo, wanaojielewa akina mnyika wako kimya

wamfie Lissu, walishindwa kumfia Slaa??

mrudisheni slaa
 
Back
Top Bottom