Washamba tu hakuna hata sehemu moja yenye wajanja hyo wilaya mitaa yote kamnyonge,mwisenge,Nyamatare,nyasho,Biafra,iringo,mkendo, pote sijaona wajanja vijana wa hapo musoma wengi wao ni watoto wa mama jitu linalelewa home miaka nenda rudi,hamjitumi kutafta Mali vijana wajanja na wenye hela...