wewe usiongee kitu ambacho hukijui,jaribu kuwauliza vizuri wazanzibari wote wanaoishi huku bara na kule kwao utapata jibu,mtu asie jua kitu wala haoni faida yake lakini wanaofahamu na kujua matumizi yake wanaona umuhimu wa muungano so usiropoke bila kufanya research.
hii sijui ila kwa akili za kawaida huyu dada inawezekana anamchekea mdogo wake,cha msingi ni kumuonyesha kuwa yeye ni ndugu yake na isingeliwezekana kamwe kuwa wapenzi na azingatie misingi na mila zetu.
ni mtazamo wangu tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.