Recent content by Nyangimteule

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sifuri ni number sio number

    Note:A number is a symbol or word that represents an amount or quantity, thus zero (0) is a symbol which denotes nothingness in maths. It is a number of course.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Naona kama unaota vile.... Kwa hiyo unajifananisha na mmea? Kwamba nyota zinazaliwa...... Hiyo biology yako haipo, hata hujui kuwa nyota ni non-living thing, utajuaje kuwa kuna Mungu!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Ok haya ni mawazo yako kweli. Mimi nikuulize, wewe unaamini imani gani, nini msingi wake, na inasemaje kuhusu uwepo wa Mungu?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

    Kwani huyu zito yeye ni mungu mpaka aseme kuwa anayetaka ubunge aende act....? Ameishiwa sera, uzalendo wake uko wapiiii.........
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa kijeshi Marekani wadukuliwa

    Vita hii hatujui itaisha lini but kiukweli mataifa makubwa yanapambana sana hasa kutaka kuimarisha usalama na kutawala uchumi. Bado tutasikia na kushuhudia mengi.
Back
Top Bottom