Recent content by nyangi marwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    Ila ni kweli wa Dada wengi hawavai chupi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Hiyo ni chuki tu eti yeye kachaguliwa si Lowassa acheni majungu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Majambazi warushiana risasi na Polisi, Clock Tower jijini Dar

    Asante kaka kwa kutupasha habari nzuri
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutangaza rasmi msimamo wake Julai 13, 2015, ACT wajiandaa, CCM kupasuka

    Lowassa baki ccm unaenda wapi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vipeperushi vyasambazwa Zanzibar kupinga maamuzi ya CC

    Jamani nyie hamjui siasa hiyo ndiyo maana ya Demoklasia siyo kila mtu atakubalika kwa watu wote lakini Makufuri ni mzuri siyo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

    Nikweli niliona hilo lakini siyo lakukuza sana mwenyewe anajua alicho manisha
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Unajua ccm ni wajanja sana kumbukeni hata mwaka 2010 bungeni kulikuwa kuna makundi mawili 2 yakutaka uspika kati ya Sitta na Chenge kwa hiyo ccm waliona wakiacha wale waendelee au wamchague mmojawapo Kati ya Sitta na Chenge ccm waliamua kuwaacha wote wakamteua Makinda kuwa Spika kwa hiyo mimi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Kila lakheri jembe Makufuri tunakuamini sana kafanye kazi kama ulivyokuwa unafanya
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe!

    Huo ushauri mzuri sana kaka tumuombe afanye hivyo
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Na wewe hujui unachohoji usipokuwa na uongozi bora utafanya hiyo kazi yako au ni maneno tu wewe MAKOYO
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Dah hiyo nouma sana lakini watupe tu Lowassa
Back
Top Bottom