Recent content by NYANGETA1

  1. N

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza, natafuta vibarua, kazi za halali za kulipwa kwa siku

    asante sana kwa kujali
  2. N

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza, natafuta vibarua, kazi za halali za kulipwa kwa siku

    New Add bookmark #4 asante sana kwa ushauri....ila mimi ni mwanamke sio mwanaume
  3. N

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza, natafuta vibarua, kazi za halali za kulipwa kwa siku

    asante sana kwa ushauri...wazazi niko nao na wananitegemea
  4. N

    JamiiForums Tanzania Niko Mwanza, natafuta vibarua, kazi za halali za kulipwa kwa siku

    Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni .... Natafuta kazi yoyote ile iwe ya kufua nguo, kumshikia mtu kuuza duka la dawa kwa siku ambazo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dogo Pateni ni msanii wa singo moja, amemaliza muziki wake tayari

    Sawa Mungu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Carina alishindwaje kumjengea mama yake hata kibanda huko kivule mpaka leo familia nzima wanaishi nyumba za kupanga ?

    Ila waja mna mambo.....yaani mtu kaugua muda mreeefu mpaka kakosa pesa akawa anaomba msaada.....KAFA kwa mateso....bado ulitaka ajenge....hebu mpumzishe....wewe kama Mungu kakujalia kujenga kwenu inatosha
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

    Hii story haijakamilika
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UTI kali kwa mke wa mtu

    UTI sio sexual transmitted disease
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu aliachana na Mke kwa kulala na Mkwe wake

    Mapenzi hayashauriwi.....ila mpaka unaomba ushauri ni kwamba moyo wako na akili yako haisemi lugha moja....moyo wako unampenda huyo Bwana...na kwasababu amekuahidi anakwenda na kwenu (wanawake tunavyopenda ndoa) ndio unabaki njia panda kabisa...ila akili yako iko sahihi huyo sio mwanaume...kama...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Athari (7) za kukosa upendo wa baba utotoni kwa watoto wa kike na majanga ya ukubwani

    Aweeee nifanye hivyo Ili nivumbue nini
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Sawa Mungu mtu 😆
  12. N

    JamiiForums Tanzania Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Umejibu kwa hekima sana....
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Hiki kizazi hiki.....eti huyu atakuja kuwa mume wa mtu....na baba wa familia😭 eeh Mungu niepushie mwanaume wa aina hii
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshushwa cheo hatimae nimewekwa friend zone, neno la faraja kwanu

    Zamani nlikuwa Nadhani mwanaume akifika 30 anakuwa anajielewa ameshamaliza ujana na anajua Nini anataka....lkn kumbe sio kweli. Kuna watu Wana 30 and above na hawajui Nini wanataka Kama wewe.....Time will tell
Back
Top Bottom