Sentence case: Kilio chetu kwako, Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.
Sisi wananchi wa Musoma Vijijini, Tarafa ya Njanja Majita, tunapenda kuleta kilio chetu kwako, Mh. Rais. Tuliyekupigia kura wakati uchaguzi uliopita, na ambaye tutakupigia kura uchaguzi ujao wa...