Recent content by Nyangeta Marwa

  1. N

    Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Waziri Mkuu Pinda akipata wakati mgumu baada ya kuzungukwa na wananchi na wana CCM waliotaka kumsalimia baada ya sherehe katika viwanja vya Maji Maji Songea
  2. N

    Mangula na Kinana, kweli mnaipenda CCM Rais asitoke miongoni mwa wana mtandao wa 2005.

    Ndugu wakuu, Kila nikitafakari wakati tulionao ambao taifa letu liko katika uchumi wa gesi, na sasa Kugunduliwa kwa mafuta, napata picha kuwa tunahitaji Rais makini katika kuamua mambo. Rais asiyekurupuka wala asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali wala madaraka. Tusipokuwa makini tutachagua...
  3. N

    Pengo: Wakataeni wanaosaka urais kwa mabilioni

    Kufuatia habari za genge la msaka Urais kutoka kaskazini, mwenye nywele nyeupe kutajwa kumwaga mamilioni kusaka Urais, Askofu mkuu wa Kanisa KATOLIKI Muadhama Dr Policarp Pengo amewaasa watanzania kutochagua wanaomwaga mabilioni kusaka urais.
  4. N

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Katika hali inayoashiria kupwaya kwa nguvu zao kisiasa ndani ya CCM, baadhi ya vigogo wanaowania urais wamegalagazwa vibaya katika chaguzi za mitaa katika ngome zao. Edward Lowassa mkoani kwake Arusha Chadema wamepata viti 75 kutoka 7 waliokuwa navyo, huku Membe, Wassira na Sitta wakipumulia...
  5. N

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Mkuu vipi hilo la kuchakachua picha
  6. N

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Urais huu wa kutumia mbinu chafu za uongo hatari sana.
  7. N

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Picha feki hii hapa
  8. N

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
  9. N

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Picha halisi hii hapa acheni kuchakachua
Back
Top Bottom