Recent content by Nyangale

  1. N

    JamiiForums Tanzania Majambazi wawili wauawa katika tukio la ujambazi Sinza

    Mijambazi iuawe, ninahasira nayo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    Kinachonishangaza mimi ni kwamba wazanzibar haohao wamechagua baraza la wawakilishi lakini kura zao zimeonekana kuwa si batili, pia wamempigia magufuli kura zimeonekana si batili, kwa nini kura za seif zionekane batili?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Mwacheni Lowasa aitwe Lowasa. Mziki wake hakuna wa kuuzima. Mtatapatapa, lakini October lowasa atachukua kombe la ushindi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Mwacheni Lowasa aitwe Lowasa. Mziki wake hakuna wa kuuzima. Mtatapatapa, lakini October lowasa atachukua kombe la ushindi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Chadema wameiba nini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Leticia Nyerere atimkia CCM

    Leticia hana sumu. Mfa maji hakosi kutapatapa
  7. N

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Naomba namba ya mkuu,nina dogo kachaguliwa hapo
  8. N

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Jamani naulizia shule ya secondary abeid aman karume. Mwenye joining instruction anitupie. Pia naomba namba ya mkuu
Back
Top Bottom