Wakuu naomba kupata msaada wa taarifa kama kuna mdau atakuwa anafahamu kama inawezekana kusafirisha dagaa wa ziwa Tanganyika(huku kwetu Tz jina maarufu dagaa wa Kigoma) kutoka Bujumbura au eneo lolote Burundi.
Kuna sehemu nimepata ambapo nanunua kwa bei chini sana huko Burundi kisha nakuja...
Ni kweli naelewa kuwa kitaa wanabadili hela za kigeni lakini exchange rate yao inaua. Pesa nimeipata kwa kuuza bidhaa flan niliyotoka nayo Tz sasa nimeoka kwa kutumia exchange rate za kitaa yaani faida yote niliyopata inaliwa na hasara juu. But nikitumia exchange rate ya bank kutakuwa na faida...
Poapoa nashukuru mkuu, japo kwa exchange rate za kitaa zinakula almost nusu ya hela ambayo ungeipata kwa kutumia exchange rate za bank. Mfano ukiwa na laki moja ya pesa za Burundi unapata Laki moja na kumi na uchee hivi Tsh, lakini ukienda kitaa laki moja ya pesa za burundi unapata elfu 60 hadi...
Naomba kujua mkuu pale border ya kobello jamaa wanabadili kwa rate kiasi gani? Mfano laki moja ya Burundi napata Tsh ngapi? Kama utakuwa unafahamu nisaidie kujua mkuu.
Niliongea na jamaa akajaribu kuuliza kuhusu kufungua akaunti ya Dollar yenyewe haina shida. Shida ipo ukienda bank na francs za burundi unataka kuzibadili kuwa dollar anasema wanasumbua sana wakati pia kukataliwa ni kwingi zaidi na kuna limit ya kubadili yaani isizidi $500. Na mimi nataka...
Samahani dada,
Kuna pesa yangu iko Burundi yuko nayo jamaa yangu tunaefanya nae biashara ambaye yuko Burundi mimi niko Tanzania. Kuna challenge ya kuibadili pesa hiyo kuwa tsh, banks hawakubali kubadili pesa za burundi kuwa tsh pia nchini Burundi bank hazitumi pesa kutoka Burundi kwenda nje ya...
Mm kuna jamaa tunafanya nae biashara tunatoa bodhaa Tz tunapeleka Burundi kuuza, tukiuza ile hela ya Burundi namna sasa ya kuibadili kuwa Tsh ndio shida. Maana bank wanabadili hela wanakupa dola hata tsh nimeambiwa wanabadili lakini wanapunja kuliko kawaida yaani hata ile faida ya bishara yote...
Hata yeye amenijuza hivyo sema sasa mawakala wa mpesa wananyonya maana wanatoa 60,000 kwa kila laki moja ya Burundi. Yaani nusu ya kiwango ambacho mtu unapata kwa exchange rate ya halali. [emoji9]kama kukiwa hakuna namna itabidi kuwatumia haohao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.