Recent content by Nyanda21

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Asante mkuu naweza pata contacts zahapo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sufi zinapatikana wapi na gharama zikoje?

    Fafanua mkuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sufi zinapatikana wapi na gharama zikoje?

    Habari za muda huu wakuu.. Nmekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa wapi Sufi znapatikana na gharama zikoje Nina plan kuanza project ya kutengeneza mito. Karibuni kwa Mawazo mbarikiwe.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Asantr ntasubirii Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Hizi shule ni kubahatisha mkuu si hua wana interview nikipata tu hata mawasiliano ya zote kama inawezekana ntashukuru sana. Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Naeza kupata mawasiliano ya hapo mkuu Tafadhali. Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Naeza pata mawasiliano ya hapo mkuu tafadhali Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Sekondary mkuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Secondary mkuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri za private wilayani kahama

    Habarini za muda huu wakuu. Nimekuja kwenu nahitaji msaada Nina wadogo zangu nawasomesha naulizia shule nzuri za private wilayani kahama mkoa wa shinyanga ambapo watapata elimu bora. Mbarikiwe
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kumsahau mpenzi wa kwanza katika maisha yangu?

    Kojo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la chunusi

    Habari za Jumapili wakuu, Nimekuja kwenu nina tatizo moja, nina mchumba wangu ninampenda sana kwakweli ila ana tatizo la chunusi ambapo hili swala linamkosesha raha na hata Mimi pia. Natamani amgepata kitu cha kumsaidia msichana wangu anauso wa mafuta kiasi ameshajaribu kutumia mpaka zile...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemnyoa mpenzi wangu nywele zake na mkasi na nimempiga marufuku kusuka kuanzia leo

    Dikteta uchwara we we
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Hapo nikwenuu sheria kwake chaaa. Mkienda kwake msikiss hahaaaahaa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

    Ivi kua wife material kumbe ni kuchapa tu kazi?
Back
Top Bottom