huu siyo muda wa kuanza kumlaumu mtu fulani, bali ni muda wa kuangalia wapi tumeteleza ili kipindi kijacho tusirudiye haya makosa. "big up wana ukawa aluta continua"
Huu ufedhuri unaofanywa na serikali zisizotii haki za binadamu na sheria, ipo siku zitageuka na kuwa mbegu zinazooteshwa katikati ya ardhi yenye udongo wenye rutuba. Tunampa pole ndugu yetu awe na moyo wa ujasiri, kwani hawa jamaa wameamua kuwaua ndugu zao wenyewe ili kudhoofisha nguvu ya umma...
Naomba Watanzania tuwe macho na Viongozi wetu wa leo ambao wanatamka maneno bila ya kutafakari na mwisho wa siku wanasutwa na umma. Hili swala ni nyeti sana halipendezi kuona linaongelewa kitoto na ambao tunawaita viongozi wetu. Wanataka kututumbukiza katika wakati mgumu na ambapo hatujui ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.