Recent content by nyamwenga

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    tunaomba update
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    log in ukitumia namba yako ya siri coz ID yako imeshaingia kwenye system ukiingia user mpya na account mpya kwa ID ileile lazima wakwambie imeshatumika. Wewe log in uweke password yako account yako itafunguka na fomu yako itafunguka utaendelea km kawaida.
  3. N

  4. N

    JamiiForums Tanzania Wilayani Mbozi, Waalimu wachangishwa Tsh 3000/= ya mafuta ya Mwenge

    sisi tumeambiwa huku tuchangie 2000 ya mwenge, yaani baada ya kuliona tu hilo tangazo nilinunu vocha ya 2000 nikajiunga kifurushi cha wiki.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    mkuu achana nae atakuumiza kichwa! Huyu haelewi hata kinachojadiliwa hapa!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    ondoa shaka kwa hilo mkuu, kwan si kila msomalia ni alshabab.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    mmmh mkuu usinisimulie stori za kutisha!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    asante nitazingatia mwalimu mwenzangu!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    sijasema kilombero ipo wapi nimesema wapi zilipo ofisi za halmashauri ya kilombero! Hunipi shida ila zaidi unaniongezea uzoefu kwani hii ndo aina ya wanafunzi nitakaokutana nao!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    asante sn mkuu, umenihamasisha sn!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kilombero

    kaboti kadogo kanini tena mkuu?
Back
Top Bottom