Recent content by Nyamwage

  1. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KERO Hivi Tanzania hatuna Telecom Companies zinazotoa huduma za internet zinazoendana na kasi wanayotaka Wateja?

    Hivi hiyo 1tb ni kwa kifurushi gani 70k au 100k
  2. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TV gani hapo nichukue 50 inch 4K solarmax au 43 inch FHD Hisense

    Shukrani mkuu nilichukua skyworth google tv 43 inch nikabakiwa na chenji nyingi tu maana waliniuzia kwa 430k
  3. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TV gani hapo nichukue 50 inch 4K solarmax au 43 inch FHD Hisense

    550k
  4. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TV gani hapo nichukue 50 inch 4K solarmax au 43 inch FHD Hisense

    Bei ziko sawa na zote ni smart
  5. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Picha ya pili mpaka ya Tano ni display moja hiyo Dell ya kulia ikiwa katika HDMI na DP
  6. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Picha ya pili mpaka ya Tano ni display moja hiyo Dell ya kulia ikiwa katika HDMI na DP
  7. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata kama maandamano ya 29/10 hayatafanikiwa, message itakuwa "sent"

    Naona umeamua kusimama upande wa mkeo
  8. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata kama maandamano ya 29/10 hayatafanikiwa, message itakuwa "sent"

    Uko sahihi mkuu jamaa wanamsukuma tope
  9. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi TV nchi 32 kushuka chini nayo ni ya kununulia Tv guard

    Swali lako mbona limekaa kihaya sana
  10. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka 2022 Dell ya kulia
  11. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Bora ujinunulie simu mwenyewe mwaya maana wanaonunuliwa wengi vishimo vya kutolea upepo vilishalegezwa
  12. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    2010 mpaka 2012 ilikua freshi tu ila mpaka sasa kuna wasukuma wanaweka nyimbo kama miito ya simu ringtone
  13. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Fikisha 700k ukamate A36 hauta jutia kwenye maisha yako labda uibiwe
  14. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Akon akiwa na team nzima ya watoto wake. Usimuige kama wewe ndio wale wa kusema "matembele yakipikwa vizuri yanakuwa na ladha ya nyama"

    Kuna lofa mmoja aliniambia nazaa watoto wengi ili waje kunisaidia nilijiuliza kumbe kuzaa nako ni uwekezaji
  15. Nyamwage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Ulipo zishika ulihisi umeshika kitu premium au famba
Back
Top Bottom