Recent content by NYAMUHANZI

  1. NYAMUHANZI

    Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

    Usemayo ni kweli, maana kitu chohote haramu huwa ni kitamu na kizuri. Kinachochangia kumuona mtamu ni ile hali ya kujihisi mjanja na mwenye akili kuliko mumewe lakini ikitokea ukakabidhiwa na kuambiwa awe wako kisheria waweza mchoka siku hiyo-hiyo, hata ikitokea ukaoa Watakaochepuka na mkeo...
  2. NYAMUHANZI

    Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

    Kuna makabila yana utaratibu wa kwenda Ant- Clockwise (kinyume-nyume) sijajua kwa nini waliamua hivi. Ukweli upo hivi, Mwanamke ni sawa na shamba lenye rutuba ambalo mbegu yoyote ikipandwa au kupeperushwa na upepo kisha ikafikia kwenye shamba hilo itaota tu. sasa kawaida shamba ambalo...
  3. NYAMUHANZI

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Umetoa hoja nzuri, tatizo siyo kuwa na wake wengi maana hata baadhi ya sisi wenye mke mmoja cha moto tunakiona. Tatizo huyu Kaka yangu ameishi na " mchepuko" kwa jina la "mke mdogo". Kama angekuwa amemuhalalisha na wanajuana na mke mkubwa na pia watoto wanajuana na kutembeleana yasingefika hapa.
  4. NYAMUHANZI

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Kuoa mke mmoja au wanne ni sheria zilizowekwa na wanadamu lakini MUNGU hajawahi kuwawekea wanadamu ukomo wa kuoa ndo maana manabii wa zamani walikuwa na wake wengi na hatujawahi kusikia wakihesabiwa dhambi. ikiwa sheria za Kanisa haziruhusu waweza kufunga ndoa ya kimila na maisha yakaendelea.
  5. NYAMUHANZI

    Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Nakushauri uwe na maamuzi ya kiume, watoto kisiwe kisingizio cha Mwanamke kukupelekesha anavyotaka. Ukimuonyesha mwanamke kuwa unampenda sana lazima atakuendesha kwa kucheza na hisia zako. Badilika kuwa imara kama simba!! pia nawe jitafute kimya kimya pale utakapogundua kuwa unamkwaza usisite...
  6. NYAMUHANZI

    Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Cariha bwana!! 😁 😁😁 Michango yako huwa inaniacha hoi mpaka natamani kukufahamu wewe ni Mwanamke wa aina gani!!. Kimsingi mimi naona huyu jamaa anachangamsha jukwaa, kama siyo hivyo bado ana kauvulana kwa mbali. Maana matatizo yote aliyoyaelezea kwenye uzi wake akituliza akili kama kiongozi, mume...
  7. NYAMUHANZI

    Wanywa pombe kali tujiandae huenda tuna saratani

    Amepata alichostahili, haikuwa kazi yake!!
  8. NYAMUHANZI

    Wanywa pombe kali tujiandae huenda tuna saratani

    Acha vitisho vya kilokole, kwani wasio kunywa hizo pombe hawafi!? Au wachungaji na mashehe hawafi kwa kansa!? Kwa taarifa yako Kifo kipo palepale, hizo ni njia na sababu za kuondokea tu. Halafu ujue wafanyibiashara wa hivi vileo wanalipa kodi serikalini tofauti na wamiliki wa makanisa wasio...
  9. NYAMUHANZI

    Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Ukinitafutia mwenzangu labda nisijue, nikijua nakugawa bure kwa huyo mwenzangu. Sipendagi ujinga!!!!
  10. NYAMUHANZI

    Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Hapana mheshimiwa, mayai na mbegu ni vitu viwili tofauti ndiyo maana hata majina yake ni tofauti.
  11. NYAMUHANZI

    Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

    Tatizo mtoa mada alimwambia aache kazi atamuwezesha, hivyo bibie akaona bora atoe shida zake ili awezeshwe kabisa. (Kama huna uwezo usihaidi).
  12. NYAMUHANZI

    Kwanini marekani ni tajiri sana kuliko italia

    Utumwa haukuletwa na Kanisa, pia Malkia wa UK ndiye mkuu wa Kanisa la Anglikana. Kwa nchi za ulaya Walutheri wengi wanapatikana Germany maana ndiko muhasisi wa dhehebu hilo alizaliwa.
  13. NYAMUHANZI

    Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

    Mheshimiwa, Mimi ni nani mpaka nikatae kukosolewa wakati najua kuwa kukosolewa ni sehemu ya kujifunza na pia najua kuwa hapa Duniani hakuna asiyekosea . Mimi nakataa pale mtu anaponikosoa kwa kunipotosha zaidi. wewe kinachokuchanganya kwa hayo maneno ni lahaja tu. Kuhusu uthibitisho wa Mussa...
  14. NYAMUHANZI

    Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Mheshimiwa, Shahawa siyo mayai bali ni majimaji yanayobeba mbegu za mwanaume.
  15. NYAMUHANZI

    Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Mwanaume hawezi kuwa na mayai bibie, Labda ulitaka kusema hana mbegu hai!?
Back
Top Bottom