Recent content by Nyamshongoma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳

    KIla Mkoa na wilaya zake ndo wanaratibu nyomi....,ole wa Mkuu wa mkoa na wlaya ambao watashindwa kuleta nyomi! watakiona cha moto.Ndivyo nyomi inavyopatikana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    U Utakuta kura zimepigwa laki tano Tume inatangaza milioni 15
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Rais Samia aitetemesha Tunduma. Helikopta zatanda angani na kuteka anga zima la mkoa wa Songwe. Apokelewa kishujaa

    Unaweza kueleza mtu kupokelewa "kishujaa" maana yake nini?
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Kwani anashindana ma nani?!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Viapo vyao vipo hivi; watakuwa watiifu kwa "Raisi" na Chama tawala,Watalinda Maslahi ya chama,over.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Sio la Tanzagiza! Washakuwa mdebwedo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Jeshi la Kenya kuliona labda wakiwa kwenye gwaride.Tanzagiza wao kila mara kwenye vyombo vya habari utadhani ni idara ya chama cha mambuzi,unataraji nini kitatokea!.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Aren't: Nchimbi be careful

    Walimuweka kwa kuhofia influence na power kwenye chama ila hawamuoni kama mwenzao.Nch.analifahamu hilo!.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    La Labda kontena limefunguliwa wanatest kama zinafanya kazi vilivyo
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo Gombo: Mkichagua CUF tutakomesha utekaji

    Mtuonyeshe nyomi anayohutubia
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Ungejua hao watu wanakusanywa na viongozi wa wilaya na Mkoa usingetoa povu lote hilo wewe chawa.Ole wa wilaya na mkoa ambapo watu watakuwa wachache! Kazi huna.Hapo ni mashindano ya wilaya na mkoa kumjazia mama watu kwenye kampeni.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    W Wambie walokutuma kuwa waliyoyafanya gizani Mungu kayaweka wazi kupitia polepole
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Dkt. Samia amejaliwa maono makubwa

    Ndoto za jalalani bado zipo kumbe!
Back
Top Bottom