Kwani kuwa mbunge ni kusoma na kuandika
Jimbo fulani diwani alie kaaa miaka 20 amabe hajafanya kitu chochote na wananinchi wamemchoka halafu ndio huyo huyo wajumbe wamempisha kaonjoza kura za maoni hajui kusoma na kuandika ni rafiki yake mkubwa na kiongozi alie kuwa anasoma majina ya wabunge...
Kwan CCM WANASHIDA GANI MBONA VITU VYA KIJINGA SANA JION HÌII NIMEKAAA NA DIWANI MSTAFU ANASEMA SHEMEJI YAKE ALIKUWA ANAGOMBEA UBUNGE KAPOTEZA MILLION 600
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.