Recent content by NYAMONGO KWETU

  1. N

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    pole kwa majukumu nina nokia105 ilishabadilishiwa security kutoka default kwenda nyingine nifanyeje
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu jf kuondoa security code nokia 105

    Kuna mtu aliweka cm kwangu nokia 105 nikampa hela kisha akatokomea yapata miezi 2 sasa ila nikiwasha inaomba security code . Huduma ya kuflash ipo umbali wa 192 km nifanyeje.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya utando mweupe mdomoni kwa watoto

    asante kwa ushuri wako nitapunguza.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya utando mweupe mdomoni kwa watoto

    Kuna mtoto anasumbuliwa na utando mweupu kama vidonda mdomoni na inasadikiwa ni hatari ukishafika mkunduni.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya ugonjwa huu wa ngozi ni ipi?

    ugonjwa wa ngozi unaokubadili ngozi kuwa na madoa kama chui au gwanda la kijshi(MBA)
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya ugonjwa huu wa ngozi ni ipi?

    Mwili wangu ulishageuka na kuwa kama gwanda la mwanajeshi au chui. Wakati wa jua natoa harufu mbaya ya joto.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nina vimba miguu kila siku kwa vipindi. Tatizo nini? Msaada please.

    Nikiamka asubuhi huwa niko nomal level. Kadri siku inavyo zidi kusogea ndivyo inavyozidi kuvimba usawa wa vifundo kwenda chini,nikibonyeza kwa kidole hakuna maumivu ila naacha kishimo kama kifuniko cha soda. Msaada wenu tafadhali.
  8. N

    JamiiForums Tanzania kimeo kimekuwa kirefu ghafla

    kuna mzee mmoja anaitwa rugoye hapa tarime ni bingwa hicho #kimeo km vp nitumie sms.
Back
Top Bottom