wapo si ndo maana wengine wameona kuwa inawezekana joto la ukombozi limeletwa na wao na unataka kuongea nn maana haea wana muda mchache tangu walipoanza M4C na mbona huwaulizi mafisadi wa nusu karne? hujatulia bila shaka!maana tunajadili suala la wezi waliokamatwa escrow unatuondoa kwa hoja...
tunapokuwa tunaongea jambo jema mnapenyeza sumu!hero apewe KAFULILA ni stahili yake ndg eeeh Zitto kafanya mengi mazuri hata pesa zetu zilizofichwa huko wezi alituletea majina yao waziwazi ktk hili la escrow ni Kafulila subirini akifanya jema jingine tuutambue mchango wake pia eeh jamani eeeh!
ovyo sana mwigulu?tafakarini upya na kwa makini mwagulu ni bogas hana la maana zaidi nu automaton hawezi kujidhibiti ana matusi domo lake km choo ni dijteta tumemuona akitetea ufisadi labda kwa sababu ya mapovu mdomoni?sawa!
kwa hiyo kwa maoni haya wataka waachiwe hivyohivyo? tumewajua walivyo wapigaji lkn vigumu kweli kuwatia hatiani ni hapa tu ndipo kuna watertight hawawezi kuchomoka ila akitokea alqaeda akamwaga bunduki na mabomu ya kutosha kwa hali hii ambayo watz kwa asilimia kubwa wamedhikika hivi kutokana na...
taka!mkuu labda fikiri tena maana taka utaiona vizuri maana watu wanaonunulika kwa kushawishiwa ndo taka hizo na usisahau kwa nn chadema? ni kwa sababu ndio wapinzani wa ukweli maana ACT iliundwa na kupewa usajili wa kudumu kwa kasi ya kisulisuli wakati CCJ iligonga mwamba.
Maana pia walikuwa...
hujui?siyo hivyo km Taifa tulishauzwa zamani!angalia ukiwachungulia watakuulimboka ohoo dadaangu!!!kiukweli tunahitaji ukombozi,tena wa haraka maana tangu enzi za NBC kugawiwa bure hadi leo tunu zote kwishiney hatuna kilicho chetu vyote wamewekeza kumbe wapi!nashangaa wayz wenye uwezo...
choo choo, hata bandiko choo!maana mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize sana kwani Nassari ni mw/kiti wa kijiji? juzi tumeona akiwaletea wananchi wake maji mbona hilo hukulibwabwaja humu?mmejaa chuki na sumu angalia urakufa mapema!yaani huwaoni mafisadi wenye pesa uwalalamikie ni kwa nini...
wataka madaraka huwajui?si ni hao wanaong'ang'ania madaraka kwa kupiga mabomu kila mtu hata wanahabari na km hawapendi madaraka ni kwa nini wanatumia ubabe kwa vyombo vya dola?wote walio na mawazo mgando wataendelea kushabikia majambazi ljn naamini hata mijambazi hugeukana!hamtaendelea sana...
kweli wewe unafikiri kwa tumbo nadhani ulipewa akili ya fisi si vinginevyo mkuu!anaulilia ukatibu wakati ni wa tz. wenzio wameonewa kihivyo?au hujui bi ndg zako hao?au itikadi imekupofusha?mtawauwa watu ili mrithi nini?nyie ndio akina AHABU na mbwa watairamba na damu yenu nyambafu!
duh hawa polisi walinde raia siyo ccm maana raia ndio waliowaajiri hii hali ya kutwsatesa wananchi kwa utofauti wa itikadi wanachokipandikiza ni zaidi ya somalia!
kumbe na wewe hujui?mpango mzima ni kuwaandikisha wale ambao mlengo wao unajulikana wa kifisadi zaidi na ni kwa nchi nzima angalieni sana ikibidi iwe mapema kieleweke tuanze na watendaji watuandikishe hatuwaombi! ni haki yetu wanajua wamepitwa na wakati wanakumbukumbu ya 2010 asilimia 52 ya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.