Recent content by nyamlega

  1. N

    Kuishi na mwanamke mjamzito kwenye ndoa ni kazi

    Mh! hi ya kujifungia sasa kazidisha.Madaktari plz tujuzeni hii inakuwaje?
  2. N

    Wapenzi wengi ni wanafki wanapokuwa mbele za watu, nini kinachokuzuia kufanya haya?

    Mkuu ndo maana kuna mahali panaitwa chumbani,mahali ambapo unaweza kumuonyesha mpenzi wako kwa namna yoyote jinsi unavyompenda,maana ndiye anayepaswa kuona huo upendo wako na c mwingine.Cc wengine hata msipokiss wala kukumbatiana hadharani tutajua tu through phyisical appearance yenu.so jitahidi...
  3. N

    Msaada tafadhali: Maumivu ya tumbo la chini

    Habari Jf doctors, Naomba msaada,kila ifikapo baby days naumwa sana tumbo la chini ya kitovu upande wa kushoto na wa kulia,inakuwa kama mirija ina vidonda na kusababisha kiuno chote kuuma. Na mara maumivu yanapopungua huko nashindwa kukaa maana nikikaa kunakuwa na kitu kinachoma kutoka sehemu...
  4. N

    Natafuta mume

    Zimefika,ila ongeza vigezo mkuu ili atakaefuata ucmkose.
  5. N

    Natafuta mume

    Kumbe ana ID nyingine.Lkn haijalishi mkuu kama unampenda mPM tu.
  6. N

    Msaada, Mgao Wa Mali Endapo Wanandoa Wametalakiana?

    Mkuu,mkishakaa miaka 2 ndani ya paa moja,kisheria ninyi ni mke na mume.japokuwa mkikaa miezi 6 watu wanaizungumzia kuwa mshakuwa wanandoa ni sawa,ila mkiachana hamuwezi kwenda sheriani,maana huko wanasikiliza waliokaa pamoja kuanzia miaka 2 na kuendelea.
  7. N

    Mahusiano

    Mh! una uhakika?
  8. N

    Simuelewi mpenzi wangu

    Acha kumtafuta kama ambavyo yeye hakutafuti.
Back
Top Bottom