Recent content by nyamkuta

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sasa siasa inahamia klabu ya Simba. Mzee Kilomoni anatumika

    Mo aanzishe/anunue Timu yake kwishney..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya Jimbo la Singida Mashariki inatisha, 'they need rescue in 2020'

    Siku mkijua majukumu ya Mbunge mtakuwa mmejikomboa... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Nafikiri jambo bora ni kumuacha dereva awe huru na gari,bcoz maderva wengine wana wateja wao wa kudumu hivyo anaweza fanya kazi vizuri. Kuna jamaa wangu amemuachia dereva kwa siku anaendesha kama km 168,sa wajuzi sijui atakuwa anakesha au la. Ila jamaa amepata dereva muaminifu..Hesabu kwa siku...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya spacial inahitajika

    Spacio zipo za cc1500 na cc1800,we unataka ipi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mnaamanisha nini kutulazimisha kuangalia taarifa ya habari via Azam App?

    Ngoja mwisho wa Mwezi ntafute kisumbuzi Cha DSTV,Bongo longolongo zimezidi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mnaamanisha nini kutulazimisha kuangalia taarifa ya habari via Azam App?

    Inawezekana Azam TV wamekumbana na mkono wa dola,Hasa baada ya hii issue ya Sauti za Wananchi,na wamepewa vitisho kutokuisema hadharani. #nimeota
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber anahitajika

    Wakuu anahitajika dereva,apewe gari IST kwa ajili ya Uber. Vigezo:- 1.Awe na uzoefu wa udereva hasa wa taxi au Uber 2. Awe na Leseni ya udereva daraja C. 3. Kitambulisho cha taifa.a 4. Asiwe mlevi. 5. Awe na heshima na mtanashati. Mambo mengine tutazungumza zaidi. Aliye tayari ani PM. Shukrani
  8. N

    JamiiForums Tanzania Android Tv Boxes (4K Players)

    Hivi ni vidudu gani?
  9. N

    JamiiForums Tanzania DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Ila kiukweli, ntaacha na Azam TV,VPL ntakuwa naenda kwa jirani,Azam Tv wamejaa TV za siasa za bongo
  10. N

    JamiiForums Tanzania DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Hausigelo ndo anafaidi sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Huku Dodoma nakula Cable,furesh kabisa
  12. N

    JamiiForums Tanzania DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Azam Tv kila kitu kipo fresh..,ukiwa na HDMI,Mabao ya Chirwa unayaona vizuriii......
  13. N

    JamiiForums Tanzania DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Mwanamke ni nyoka..akipewa story za kitu na rafiki atafanya chochote na mumewe amnunulie...Mwanamke mtu hatari sana
  14. N

    JamiiForums Tanzania DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Mkuu samahani kipi unachokipata DSTV na ukakikosa Azam Tv?
Back
Top Bottom