Recent content by Nyamkomogi

  1. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya ajabu ama imekuwaje?

    Ok
  2. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya ajabu ama imekuwaje?

    Hiyo hapo
  3. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya ajabu ama imekuwaje?

    Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025. Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
  4. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Hayo ni maoni ya Paulo sio amri ya Mungu. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  5. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Makongo juu maeneo ya kkt hadi posta bandarini.
  6. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

    Aisee kweli kabisa [emoji174]
  7. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Good ushauri mzuri sana
  8. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Katuni ya MBOWE na Halima MDEE

    Tatizo la wafrika wengi ni pale wanapokuwa wanaandaa hizi katiba kwa malengo yao na ili zije kuwalinda kwa baadae. Shida inakuja pale ambapo zari hilo linapowaangukia wengine. Viongozi wale wale wanaona wivu. Hawa Akina Halima Mdee na wenzake sio wajinga walifafanya hivyo kwa makusudi wakijua...
  9. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Kwani gesi ya mtwara iliisha hadi waagize nje ya nchi?
  10. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

    Mimi kuku wangu wanakuwa kama wana mafuwa wanakoroma na kupiga chafya. Tatizogani na matibabu yake ni gani jamani?
  11. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia nisimchunge kwa kuwa bado sijamuoa

    Hatujui tukupe ushauri gani kwakweri. Sababu muhusika mwenyewe ameshakwambia kuwa ukiendelea kumchunga ipo siku utalia, inamaana hapo uelewi Nini hadi uje kuomba ushari? Au unategemea sisi tutakushauri kutu gani?
  12. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife hanichangamkii, nimepoteza mzuka naye kabisa

    Big fact brother.
  13. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kiukweli ipi ni sahihi?

    mtafika. kupotea njia ndo kujua njia.
  14. Nyamkomogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kiukweli ipi ni sahihi?

    Wadau naomba kuuliza ipi ni aina sahihi ya kufanya mapenzi na mwanamke. iwakiwa unamtia polepole kwa kubembeleza au unamtia kwelikweli kwa nguvu zote hadi anaishiwa nguvu hata za kucmama na kuhema juu kwa wakari huo? cha ajabu ni pale ukimtia polepole yani kistalabu atakudharau na ikiwa hivyo...
  15. Nyamkomogi

    JamiiForums Tanzania Cm ya tecno p5 inasumbua msaada jamani

    Hii cm kila mara inadisplay ujumbe huu UNFORTUNATELY MUSIC HAS STOPPED ikisha display hivyo inakuwa haiwezi kufanya chochote hadi niizime kisha niiwashe. nisaidien
Back
Top Bottom