Simu yangu ni kiboko yao ina sehemu 2 yaani switch 1 na 2 mke anajua moja tu picha za ni 2 hazipo ni 1 msg haziingiliani hata niiweke hawezi jua paswed tofauti .hii ndio nayotumia kiboko ya mke
Sindano inaumiza japo ndio tiba cheza mchezo na mtu amtongoze awe nae halafu mpange siku ya kufumania ukomae humtaki kabisa ukimwambia ameanza sku nyingi ,NB itakusaidia kumuacha atapata mwingine kuliko kumchezea ukijua huna malengo nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana mtaumia Sana kutumia vumbi hilo ni Kama pump ya maji inavuta nguvu zote then baadae unashindwa game mnaanza kulaumu na jinsi wanawake wa siku Hz walivyo hawana dogo kusema Kwa majirani ,tumieni nguvu zenu za asili
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.