Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na...