Recent content by Nyamigota

  1. N

    Tuzo ya Mwanasiasa Kijana Mwenye Mafanikio

    Mnyika ndo mambo yote!
  2. N

    Dr. Slaa kutikisa Dodoma kesho, hekaheka za ujio wake zatamalaki

    Mungu ambariki na kumlinda Rais wangu ajaye wa awmu ya 5, 2015 - 2020 Amina
  3. N

    CHADEMA si chama cha kubeza, na UKAWA si umoja wa kubeza pia

    ccm haitapona kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  4. N

    Ujumbe wangu niliowapa watu wa Chato jana

    Piga kazi kamanda Mawazo, taji iko mbele yako!
  5. N

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa Kigoma na uongozi wake wote watimkia ACT

    Hao wanajulikana kitambo kwamba wako kwenye kundi la wasaliti Tanzania, yaani ACT. Huyu mzee Kasisiko ni mwenyekiti wa muda mrefu mkoa wa Kigoma, atutajie mafanikio ya Chadema mkoani kwake kwa miaka yote hiyo na akiwa ni mtiifu no.1 wa Msaliti Mkuu Zitto kutokana na ramba ramba aliyokuwa akipewa...
  6. N

    Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

    Kama kuna hata watu waliomsaliti Bwana Yesu, sembuse Chadema? acha watumikie tamaa ya nafsi zao!
  7. N

    Yaliyojiri Mkutano wa Dr. Slaa na waandishi wa Habari - Makao Makuu CHADEMA

    Mungu akubariki sana Mheshimiwa Dr. Slaa kwa uzalendo wako, Baba tunakuhitaji ututumikie Mzee wetu katika uongozi wa juu wa Nchi hii walau hata kwa mmiaka mitano tu!<BR><BR>Mungu kilinde sana kiumbe hiki, watu wako tuliopoteza matumaini chini ya utawala wa Majambazi ccm, tunakuomba Mungu Baba...
  8. N

    University of Dar Es Salaam (UDSM) ranked 28 out of 100 African university

    Tatizo la UDSM siasa za ccm zimejipenyeza sana, Prof Mkandala ni ccm, Benson Burner ni ccm, Dr. Mkumbo ni ccm n.k
  9. N

    Ngeleja: Zitto ni Mbunge halali wa CHADEMA

    Zitto ni Mfadhili Mkuu wa ACT na Mwkt mtarajiwa wa Taifa, kwa sasa anachokifanya ni kung`ang`ania uanachama wa Chadema japo si mwanachadema na hajawahi kuwa na dhamira ya kweli kuipenda Chadema bali maslahi ndo yalikuwa mbele zaidi, Ili tu aendelee kupata maslahi ya kukijenga ACT. Nawasilisha
  10. N

    Like father like son! Like CCM like ACT!

    Kama Mungu Baba wa Mbinguni aishivyo, walaaniwe wote wanaojiita act na wapambe wao dhidi ya hila mbaya walizonazo mioyoni mwao kukwamisha Ukombozi wa pili wa Mtanzania kupitia vyama mbadala vya UKAWA.
  11. N

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Ni wazo zuri sana, Uongozi wa juu wa Chadema itabidi ulifanyie kazi immediately ili kuonyesha kweli ni Chama kinachokwenda kushika Dola.
  12. N

    ACT-Tanzania tunaeneza Misingi, Falsafa na Itikadi za Chama chetu na wala si Matamko

    Mwenyezi Mungu wa Mbinguni wape hukumu ya haki hawa act na hasa vinara wao akina Zitto, Kitila, Mwigamba, Chagulani, Gwanchele, Matata, Nyakarungu, Wilson Mshumbushi & etal kwa kukubali kutumika ili kufififsha matumaini ya Watanzania kukombolewa na Chadema kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi...
  13. N

    Nasikitika jinsi viongozi wanavyoingizwa mkenge na ACT-Tanzania

    Kwa ninavyo mfahamu Zitto, wote walio ndani ya act anawatumia kama c,....m, benefit ya project yake hiyo itakuwa ni yeye peke yake kutoka ccm, baada ya hapo wote wataachwa kwenye mataa. Stay tuned.......,,,,,,....!!!!!
  14. N

    ACT-Tanzania tunaeneza Misingi, Falsafa na Itikadi za Chama chetu na wala si Matamko

    Huyu Mwigamba ni mnafiki sana, alipokuwa amefukuzwa Chadema alisema anaachana na siasa na anrudi kufanya kazi yake ya uhasibu leo yuko busy ana laghai watanzania kwa maslahi ya tumbo lake. Vile vile Mkuu wa chama chao Zitto alisema 2015 hatagombea tena Ubunge anarudi chuo kikuu kufundisha, leo...
Back
Top Bottom