Upendo duniani unadhaminiwa sana, kama mnara wa ufarisi wa binadamu. Upendo huimbwa katika nyimbo, huandikwa katika mashairi. Hudhaminiwa katika maandiko makubwa. Huzungumzwa katika mazungumzo ya kawaida. Watu wanadai kuwa wamo katika upendo, kuwa upendo ndiyo ufarisi wa mwisho, kuwa kile mtu...