Recent content by nyambogo

  1. N

    Magari yanauzwa Bei Kitonga

    Gari zinauzwa bei kitonga na mazungumzo yapo Harrier Lexus 12,000,000/=,Benz na Crown Majester Blue 9,000,000/= kila moja na White Majester 8,000,000/= Karibu tuzungumze 0777949284
  2. N

    Natafuta gari za kusafirisha korosho zaidi ya Tani 1000

    Mkuu sio kila kitu unaleta masihara,sipo hapa kuleta utoto,kama unaona halikuhusu tulia
  3. N

    Natafuta gari za kusafirisha korosho zaidi ya Tani 1000

    Wanajamvi salaam! Nina mzigo wa korosho kama tani 1000+ Mtwara (Tandahimba & Newala), Nahitaji ufike Dar es salaam, ASAP mwenye lori zaidi ya tano mpaka kumi anaweza nitafuta 0622479330 tuzungumze.
  4. N

    Maji ya upako ni nini? Ni kweli? Yanatoka wapi? Yanaponya?

    Wanadamu tuna shida pahali,why uhisi hao watu ni wapigaji?Tumehalalishiwa upande wa giza sana na tunauamini kuwa unafanya kazi.Mfano watu wanaandika kombe na watu wanalinywa na wanaamini wanapona,watu wanaandika karatasi waweke juu ya mlango na wanaamini ni ulinzi,watu wanapewa jini liwape fedha...
  5. N

    Nitoe pongezi kwa Kanisa la Wasabato Tanzania

    Ukristo una taratibu katika utoaji wa sadaka,usije sema hukuambiwa,peleka sadaka kamili kama Biblia imeelekeza,usilete janja janja.(Leteni zaka kamili ghalani Mal 3:10-12)
  6. N

    Sababu za kitaalamu juu ya korosho zilizorudishwa na serikali kwa wakulima

    Hatuhitaji upotoshaji kuhusu korosho,nadhani hakuna ufahamulo kuhusu korosho,tukubali kuna mahali hatukwenda sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Sababu za kitaalamu juu ya korosho zilizorudishwa na serikali kwa wakulima

    Ndugu hufahamu lolote kuhusu korosho na namna zinavyokusanywa,kwa maelezo yako unamaanisha msimu huu hakukuwa na watu wa cutting kwenye maghala ya kukusanyia korosho?na sijui hata kama hyo cutting unajua maana yake.Tuanzie hapo ili twende sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Ninahitaji malori ya kukodi kwa ajili ya kutoa korosho shamba kupeleka maghala makuu kuanzia tani kumi na kuendelea

    Ndugu tuheshimiane usilete utoto humu, hunifahamu vyema wala sikufahamu either, nahitaji malori kuongeza nguvu au maana ya kukodi hufahamu kama inaenda tumika fedha? Heshimu wengine hautapunguza chochote.
  9. N

    Ninahitaji malori ya kukodi kwa ajili ya kutoa korosho shamba kupeleka maghala makuu kuanzia tani kumi na kuendelea

    Wadau nipo Mtwara wilaya ya Newala,nina kampuni ya usafirishaji iliyopata tenda kwa wilaya za Masasi, Newala, Tandahimba na Mtwara vijijini, nahitaji pia Lori zitakazobeba mzigo toka katika wilaya hizo maghala makuu kwenda Mtwara bandarini,kwa alie tayari tafadhali aje PM kwa ajili ya ufafanuzi...
  10. N

    Kilio kwa Wakulima wa Korosho: Bei elekezi ya msimu huu yatajwa

    Bado korosho haijaanza kununuliwa ghalani,wakati ukifika tutaleta humu mkuu
  11. N

    Kilio kwa Wakulima wa Korosho: Bei elekezi ya msimu huu yatajwa

    Bro inaonesha hufahamu chochote kuhusu korosho na namna inavonunuliwa,jamaa amekupa ufafanuzi sahihi hata Kama unaukataa, na huo ndio usahihi wake
  12. N

    Kilio kwa Wakulima wa Korosho: Bei elekezi ya msimu huu yatajwa

    Ndugu unachanganya mambo, hiyo bei inaitwa bei elekezi mwaka jana ilikua 1450 na korosho katika Manda ilinunuliwa mpaka 3600,hicho kilichooneshwa hapo ni bei ambayo mnunuzi hapaswi kununua pungufu yake au kwa maneno mengine Manda unaanza na bei hiyo na kuendelea, na kwa mwaka huu naamini korosho...
Back
Top Bottom