Recent content by nyambe boy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa admission uko DIT mnafanyaaje aise

    hata na mm mkuu nimeona hivyo nikaacha nadhani mungu asaidie nifike nitapata ufumbuzi hukohuko. kwan ww umesharipoti
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa admission uko DIT mnafanyaaje aise

    unafanya usajiri mkuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa admission uko DIT mnafanyaaje aise

    kwenye nn
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    kwa chuo cha mineral resource institute ada yake ni laki 6 na 30 kwa mwaka cost nyingine unalipiwa na government. angalizo walikua na plan ya kupandisha ada
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bachelor of arts with eduction=Duce Vs Environmental disaster management Udom...

    duh, environmental nzur lkn, hyo siinatolewa udom
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in Multimedia technology

    multmedia technology unaweza fanya, kwenye television, video shooter, yaani kikubwa utakua una deal na mambo ya production,film nk
  7. N

    JamiiForums Tanzania Walioomba udahili SUA waangalie kwenye account zao

    inavyo onekana kama user blocked inamaana ujapata mkuu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Walioomba udahili SUA waangalie kwenye account zao

    yametoka mkuu kweli mm apo rafiki yangu nae akiingia inaandika user error but mm nimeingia nikakuta nimechaguliwa kweli kabisa mkuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Walioomba udahili SUA waangalie kwenye account zao

    jamani sua mzigo tayari angalia kwenye account
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo ndio utakao-determine hatima ya ndoto zangu mwaka huu

    kaka mungu yuko pamoja na ww kua na imani kua umeshapata
  11. N

    JamiiForums Tanzania Heslb achieni basi hata awamu ya kwanza!

    kabsa, kuna watoto wa wakulima huku ndo wanasibilia wajione kama wamo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo ndio utakao-determine hatima ya ndoto zangu mwaka huu

    tumuombe mungu atusaidie kwa sababu ata mwenzio hapa niki kama ww. lakini imamni tu ndo itatatua haya mbambo yote mungu akubariki
  13. N

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

    mzee naitaji kujua whats is brown field exploration
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi nzuri kati ya mechanical engineering na electronic & telecominication engineer?

    bro asante kwa ushauri wako naufanyia kazi
Back
Top Bottom