Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

Course zinazotolewa MRI
Ordinary Diploma Programmes

Ordinary Diploma in Geology and Mineral Exploration

Ordinary Diploma in Petroleum Geosciences

Ordinary Diploma in Mining Engineering

Ordinary Diploma in Mineral Processing Engineering

Ordinary Diploma in Environmental Engineering and Management in Mines
907321e4606e6b8291d5e1d0600be80d.jpg
je wahitimu wa veta wanaweza kusoma kama wamefaulu vizuri CBA
 
Vyuo vya ufundi vina mchango Mkubwa sana wa kubadili mwelekeo wa fikra na ubunifu wa vijana Tanzania
 
Mimi nilisomea carpentry & joinery nilikuwa nataka civil engineering DIT au ATC
A Certificate of Secondary Education with a minimum of D grade Mathematics and Trade Test Certificate of at least Grade II or NVA Level II offered by VETA accredited Institution
 
Vyuo vya ufundi vina mchango Mkubwa sana wa kubadili mwelekeo wa fikra na ubunifu wa vijana Tanzania
Kweli kabisa Ndahani serekali ingeiangalia kwa jicho la tatu elimu ya ufundi nchini iboreshe hizi technical college na iongeze idadi ya wanafunzi wanaochaguliwa technical college kutokea direct shule
 
Ada inarange kwenye lak 9 mpk mil moja na laki moja haizid hiyo kwa vyuo vyote+direct costs

Kwa ufundi computer na simu ukisoma computer engineering ndo utakuwa fit zaid

Ku apply utatumia cheti chako cha form four
Hyo lak 9 mpaka million 1, chakula , malazi ni hyohyo...?
 
vipi kwa mimi maana nina grade one ya veta ya fani ya umeme,cheti cha form four ninacho lakin sikusoma science vipi na uwezo wa kuunga diploma
Samahan mkuu Ulpga miaka mingap na ulisomea nn mana me pia art cheti ninacho Napnda masomo ya uhandisi natk niend veta kisha nijiunge DIT hasa cjui nianze na koz ipi veta. Naomba msaada
 
Nmemamalza form 4 2012. Eng D, KISW D, CIV D, HIST D, GEOG D, BIOS D, MATH F, LITERATURE F. Please napenda masomo ya engineering najua vyuo vya ufundi sna sfa km ipo chuo kp. natk nianze veta ila cjui koz ipi itafaa ili badae nisome engineering DIT MUST AT n.k pia nina cheti cha microcomputer application pale UCC
 
Nimesoma form 4 kenya,nina english B,kisw B,bio B,chemC,maths C,busines B history B.kwa sasa ninacheti cha stashahada ya busines administration,naomba kujua uwezekano wa kuaply coz ya ufundi yoyote ya engneering,inawezekana,ikiwa nilidrop physics?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa chuo cha mineral resource institute ada yake ni laki 6 na 30 kwa mwaka cost nyingine unalipiwa na government. angalizo walikua na plan ya kupandisha ada
 
Back
Top Bottom